Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA JENGO LA QUALITY CENTRE UCHUMI‏

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa wa kwanza toka kulia pamoja na Meneja wa duka hilo Irene Njovu na Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Hassan Saleh wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa duka jipya na la kisasa la Vodacom Tanzania,lililopo Quality Centre katika   barabara ya Nyerere ambalo ni moja ya kituo kikubwa cha biashara jijini Dar es Salaam.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom yafungua duka jipya jengo la Quality Centre Uchumi

Katika kuhakikisha wakazi wa Temeke na Ilala wanapata huduma kwa karibu,Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom leo imefungua duka jipya katika jengo la Quality Centre Uchumi  lililopo katika barabara ya Nyerere ambalo ni moja ya kituo kikubwa cha biashara jijini Dar es Salaam likiwa na maduka makubwa,ukumbi wa sinema,sehemu za burudani na maofisi.
Duka hili jipya lenye mazingira rafiki kwa wateja litakuwa linatoa huduma mbalimbali kwa wateja wa Vodacom ikiwemo huduma  kwa mawakala wa Mpesa na...

 

10 years ago

Habarileo

Voda yafungua duka jipya Quality Centre

KATIKA kuhakikisha wakazi wa Temeke na Ilala wanapata huduma kwa karibu, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom imefungua duka jipya katika jengo la Quality Centre Uchumi.

 

11 years ago

GPL

VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA MSASANI

Meneja wa Vodacom wa kibiashara wilaya ya Kinondoni Edger Jonas akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa duka jipya la Vodacom maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia kutoka kulia kwake ni Meneja wa Mauzo ya rejareja Elihuruma Ngowi, Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim na Msimamizi wa Maduka ya Vodacom Magret Lawrence. Uzinduzi wa duka hilo unaifanya Vodacom kufikisha jumla ya maduka 76 yaliyokwisha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yafungua Duka jipya la kisasa Sumbawanga Mjini

sumbawanga1

Katibu tawala mkoa wa Rukwa,  ndugu Smythies Pangisa(kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya  uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Sumbawanga mjini, kushoto ni  Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kusini Jackson Kiswaga na katikati ni meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana.

sumbawanga2

Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana(katikati) akitoa maelekezo kwa mgeni rasmi Katibu tawala mkoa wa Rukwa ndugu Smythies Pangisa jinsi watakavyo hudumia wateja,...

 

11 years ago

GPL

UCHUMI GOES M-PESA, AS VODACOM LAUNCHES SHOP AT QUALITY CENTRE

Meneja Mkazi wa Uchumi Supermarket Chriss Lenana (kushoto) na Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Hassan Saleh  wakikata utepe kuzindua rasmi duka la Vodacom ndani ya Uchumi Supermarket ikiwa ni huduma ya kwanza na ya kipekee nchini. Duka hilo linawawezesha wateja wa Vodacom kupata huduma za kampuni ikiwemo moderm, vocha, usajili wa nambari zao, M-pesa n.k wanapofika kwenye Supermarket hiyo kwa ajili ya...

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom yaendelea kusogeza huduma karibu na wateja wake, yazindua duka jipya la kisasa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam

 Mkuu wa Kitengo cha Mauzo, Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania Plc, George Lugata akizungumza na wageni waalikwa na wafanyakazi wa Vodacom mara baada ya uzinduzi wa duka jipya la kisasa lililopo Mbezi Beach chini kwa Zena jijini Dar Es Salaam leo Msimamizi wa duka jipya la Vodacom Mbezi Beach chini kwa Zena jijini Dar es salaam, Devota Kijogoo akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa duka hilo. Mkuu wa Kitengo cha Mauzo, Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja...

 

11 years ago

Habarileo

Tigo yafungua duka jipya Songea

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imefungua duka jipya la huduma kwa wateja mjini Songea. Duka hilo litarahisisha upatikanaji wa huduma zake kwa wateja, ambao awali walikuwa hawana namna ya kupata huduma za moja kwa moja kutoka kwenye kampuni hiyo ya simu.

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAFUNGUA DUKA JIPYA MJINI MOSHI

Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Artel Bi. Adriana Lyamba akimuhudumia Bw. Ally Janja ambae ni Meneja wa Tawi la NBC Kilimanjaro na pia mmmoja kati ya wateja maalum wa Airtel wakiwa katika dula jipya la Airtel Moshi lenye kona maalum kwa wateja hao (Airtel Premium) mara baada ya duka hilo jipya na lakisasa kufunguliwa jana na Airtel mkoani Kilimanjaro. Katikati ni Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja Bi. Adriana Lyamba akijadiliana...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yafungua duka la kisasa Mwanza

 Mrakibu mwandamizi wa polisi  mkoa wa Mwanza SSP  Christopher Cyprian Fuime,  akikata utepe kuzindua duka la Airtel Mwanza mara baada ya matengenezo na kulifanya duka hilo kuwa la kisasa, pembeni yake ni Mkuu wa kitengo cha huduma za wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba akiwa pamoja na wafanyakazi wa Airtel Mwanza. Uzinduzi huu umefanyika mwisho mwa wiki hii
 Mkuu wa kitengo cha huduma za wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba (kulia) akimwonyesha mgeni rasmi Mrakibu mwandamizi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani