Airtel yafungua duka la kisasa Mwanza
![](http://1.bp.blogspot.com/--ESRqELs9QE/U4LsbmGO73I/AAAAAAAFlBg/Snerhsah3tI/s72-c/unnamed+(38).jpg)
Mrakibu mwandamizi wa polisi mkoa wa Mwanza SSP Christopher Cyprian Fuime, akikata utepe kuzindua duka la Airtel Mwanza mara baada ya matengenezo na kulifanya duka hilo kuwa la kisasa, pembeni yake ni Mkuu wa kitengo cha huduma za wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba akiwa pamoja na wafanyakazi wa Airtel Mwanza. Uzinduzi huu umefanyika mwisho mwa wiki hii
Mkuu wa kitengo cha huduma za wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba (kulia) akimwonyesha mgeni rasmi Mrakibu mwandamizi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
Kampuni ya Tigo yafungua Duka jipya la kisasa Sumbawanga Mjini
Katibu tawala mkoa wa Rukwa, ndugu Smythies Pangisa(kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Sumbawanga mjini, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kusini Jackson Kiswaga na katikati ni meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana.
Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana(katikati) akitoa maelekezo kwa mgeni rasmi Katibu tawala mkoa wa Rukwa ndugu Smythies Pangisa jinsi watakavyo hudumia wateja,...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/pic-3.jpg)
AIRTEL YAFUNGUA DUKA JIPYA MJINI MOSHI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNUYBK4dTtujnzwbv5Emf0ntc9-F-2HJSEZ7QRP0k4oEAOfnLOqCv7pR3Wfktq4udWlpdRC0TM57maAf5shtfzJm/001.QUALITYCENTREUCHUMI.jpg?width=650)
VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA JENGO LA QUALITY CENTRE UCHUMI
11 years ago
Mwananchi06 May
Airtel yazindua Duka la kisasa Dar
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Xf_BXHgg5hc/U2eM_X81OuI/AAAAAAAFfpo/2rGdoGP_H2o/s72-c/pic+1a.jpg)
Airtel yazindua duka la kisasa Mlimani City
![](http://3.bp.blogspot.com/-Xf_BXHgg5hc/U2eM_X81OuI/AAAAAAAFfpo/2rGdoGP_H2o/s1600/pic+1a.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Uk0YlwSO42M/U2eM_WlJEUI/AAAAAAAFfpk/wexWWpBLLRs/s1600/pic+1b.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3fQFwgiCMKFKRJLKfJgis22BZTZM1cNxVfDmfHI9hjiKKppzH2X54jtnDM2uwFidF9JveFvj5YmiN1GLBAE39rV/pic1a.jpg?width=650)
AIRTEL YAZINDUA DUKA LA KISASA MLIMANI CITY
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Star Media yafungua duka Samora
KATIKA kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani kampuni ya Star Media inayosambaza ving’amuzi vya Star Times imezindua duka jipya Mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Waandishi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mK50tPAXydWgzibjT7TNaZoj6OoeHWFA3185bg6GyFcQsCcOZ*tTYbvzP9Buuc43s7F1-b-vPrynU2cE3JkYJxjYiBqtStWa/001.jpg?width=650)
VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA MSASANI
11 years ago
Habarileo04 Apr
Tigo yafungua duka jipya Songea
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imefungua duka jipya la huduma kwa wateja mjini Songea. Duka hilo litarahisisha upatikanaji wa huduma zake kwa wateja, ambao awali walikuwa hawana namna ya kupata huduma za moja kwa moja kutoka kwenye kampuni hiyo ya simu.