AIRTEL YAZINDUA DUKA LA KISASA MLIMANI CITY
![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3fQFwgiCMKFKRJLKfJgis22BZTZM1cNxVfDmfHI9hjiKKppzH2X54jtnDM2uwFidF9JveFvj5YmiN1GLBAE39rV/pic1a.jpg?width=650)
Afisa Mtendaji Mkuu wa Airtel Africa, Christophe Soulet akikata utepe kuzindua duka la Airtel lililopo Mlimani City jijini Dar es Saalam. Wakishuhidia, wa pili ni Andre Beyers Afisa Mkuu wa Masoko Airtel Afrika akiwa na Meneja wa Duka, Wahida Saleh na Sunil Colaso Mkurugenzi Mkuu Airtel Tanzania. Duka la…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Xf_BXHgg5hc/U2eM_X81OuI/AAAAAAAFfpo/2rGdoGP_H2o/s72-c/pic+1a.jpg)
Airtel yazindua duka la kisasa Mlimani City
![](http://3.bp.blogspot.com/-Xf_BXHgg5hc/U2eM_X81OuI/AAAAAAAFfpo/2rGdoGP_H2o/s1600/pic+1a.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Uk0YlwSO42M/U2eM_WlJEUI/AAAAAAAFfpk/wexWWpBLLRs/s1600/pic+1b.jpg)
11 years ago
Mwananchi06 May
Airtel yazindua Duka la kisasa Dar
Kampuni ya Airtel imekarabati duka lake lililopo Mlimani City na tayari imelizindua likiwa na mwonekano wa kisasa.
11 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA DUKA LA ARUSHA
Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Brighton Majwala (kushoto) akizungumza jambo na Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Alumeru, Nyirembe Munasa wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja jijini Arusha.Katikati ni Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa airtel Tanzania, Adriana Lyamba(wa pili kushoto) na Maneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA, Inginia Annette...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/--ESRqELs9QE/U4LsbmGO73I/AAAAAAAFlBg/Snerhsah3tI/s72-c/unnamed+(38).jpg)
Airtel yafungua duka la kisasa Mwanza
![](http://1.bp.blogspot.com/--ESRqELs9QE/U4LsbmGO73I/AAAAAAAFlBg/Snerhsah3tI/s1600/unnamed+(38).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-CQyXFc3uBiw/U4Lsb3LsfYI/AAAAAAAFlBk/Lp4YmDVCSBs/s1600/unnamed+(39).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PWzTnKQk00Y/VbohU03XhmI/AAAAAAAAtd0/K0BsKQAHelE/s72-c/1.jpg)
AIRTEL YAZINDUA DUKA MKOANI TANGA
![](http://1.bp.blogspot.com/-PWzTnKQk00Y/VbohU03XhmI/AAAAAAAAtd0/K0BsKQAHelE/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-XXT42Txs51Q/VbohU88G6cI/AAAAAAAAtd4/QoLbC8_1_60/s640/2.jpg)
11 years ago
MichuziAirtel yazindua duka lake jijini Arusha
11 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA LUKU OFA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY
Meneja Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus kupitia huduma ya Airtel Money. Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money
· Wateja kupata bonus ya LUKU pale watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel money Dar es Salaam, Mei 5th 2014 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha...
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-PFkGXzvV6ok/VF93IUAlDCI/AAAAAAACuco/epVvEyPYtpM/s1600/PROF.%2BMBARAWA-5.jpg)
AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY TIMIZA MJINI DODOMA
 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi (wa tatu kushoto), Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel, Arindam Chakrabarty (kulia) wakipiga makofi baada...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNUYBK4dTtujnzwbv5Emf0ntc9-F-2HJSEZ7QRP0k4oEAOfnLOqCv7pR3Wfktq4udWlpdRC0TM57maAf5shtfzJm/001.QUALITYCENTREUCHUMI.jpg?width=650)
VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA JENGO LA QUALITY CENTRE UCHUMI
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa wa kwanza toka kulia pamoja na Meneja wa duka hilo Irene Njovu na Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Hassan Saleh wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa duka jipya na la kisasa la Vodacom Tanzania,lililopo Quality Centre katika  barabara ya Nyerere ambalo ni moja ya kituo kikubwa cha biashara jijini Dar es Salaam.… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania