Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAZINDUA DUKA MKOANI TANGA

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Said Magalula (katikati), akikata utepe kuzindua Duka jipya la Airtel Tanzania lililopo katika Barabara ya Uhuru jijini Tanga jana. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Airtel, Adriana Lyamba na (kulia kwake) ni Afisa wa Huduma kwa Wateja wa Duka hilo, Mwanavita Chiya.  Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Airtel, Adriana Lyamba (wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa  Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Said Magalula (kushoto), kuhusu bidhaa mbalimbali zinazouzwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA DUKA LA ARUSHA‏

Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Brighton Majwala (kushoto) akizungumza jambo na Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Alumeru, Nyirembe Munasa wakati wa hafla fupi ya uzinduzi  wa duka la huduma kwa wateja jijini Arusha.Katikati ni Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa airtel Tanzania, Adriana Lyamba(wa pili kushoto) na Maneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA, Inginia Annette...

 

11 years ago

Mwananchi

Airtel yazindua Duka la kisasa Dar

Kampuni ya Airtel imekarabati duka lake lililopo Mlimani City na tayari imelizindua likiwa na mwonekano wa kisasa.

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yazindua duka lake jijini Arusha

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Nyrembe Munasa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja la airtel jijini Arusha .Kushoto ni Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Brighton Majwala.Hafla ya uzinduzi ilifanyika jana jijini Arusha. Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Brighton Majwala (kushoto) akizungumza jambo na Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Nyirembe Munasa wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yazindua duka la kisasa Mlimani City

Afisa mtendaji Mkuu Airtel Africa Christophe Soulet akikata utepe kuzindua rasmi duka la Airtel lililopo mlimani city jijini Dar es Saalam.wakishuhidia, wapili ni Andre Beyers Afisa mkuu wa masoko Airtel Afrika akiwa na meneja wa duka Wahida Saleh na Sunil Colaso Mkurugenzi Mkuu Airtel Tanzania. Afisa mtendaji Mkuu Airtel Africa Christophe Soulet akikata utepe kuzindua duka la Airtel lililopo mlimani city jijini Dar es Saalam.wakishuhidia, wapili ni Andre Beyers Afisa mkuu wa...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA DUKA LA KISASA MLIMANI CITY‏

Afisa Mtendaji Mkuu wa Airtel Africa, Christophe Soulet akikata utepe kuzindua duka la Airtel  lililopo Mlimani City  jijini Dar es Saalam. Wakishuhidia, wa pili ni Andre Beyers Afisa Mkuu wa Masoko Airtel Afrika akiwa na Meneja wa Duka, Wahida Saleh na Sunil Colaso Mkurugenzi Mkuu Airtel Tanzania.
Duka la…

 

10 years ago

Michuzi

TTCL yazindua mnara wa mawasiliano ya simu mkoani Tanga

Katika adhima ya kufikisha mawasiliano vijijini, Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imezindua mnara wa mawasiliano ya simu katika kata ya Pagwi, wilaya ya Kilindi Mkoa wa Tanga.
Akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Selemani Liwowa alisema kwa kupata mawasiliano itasaidia wananchi kuwasiliana pamoja na kutafuta fursa mbalimbali kwa ajili maendeleo. Aidha, Mkuu wa Wilaya alisisitiza wananchi kutumia mawasiliano ya simu kwa ajili ya shughuli za...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua Mnara wa Mawasiliano Mbulu Mkoani Manyara


 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mbulu Joseph Geheri akikata  utepe wakati wa uzinduzi wa Mnara wa  huduma za Mawasiliano  katika kijiji cha Aicho wilayani Mbulu Mkoani Manyara ambapo sasa wakazi wa kijiji hicho na jijini vya jirani wameunganishwa na huduma za simu za  mkononi za Airtel. Akishuhudia ni Meneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Kaskazini Brightone Majwala   pamoja na wakazi wa Kijiji  hichoMeneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Kaskazini Brightone Majwala  akiwa na Kaimu Mkurugenzi...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA LUKU OFA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY‏

Meneja Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus kupitia huduma ya Airtel Money. Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money
· Wateja kupata bonus ya LUKU pale watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel money Dar es Salaam, Mei 5th 2014 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi kwa Wakazi wa Mwaza

Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akiongea na waandishi wa habari ( pichani hawapo) wakati wa kuzindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi jijini Mwanza, Promosheni ya Airtel yatosha inawawezesha wateja wa Airtel kujishindia gari Aina ya Toyota IST moja kila siku. kushoto Afisa Masoko wa Airtel Rebecca Mauma na Kulia ni Afisa Mauzo kanda ya Ziwa Emmanuel Raphael. Afisa Masoko wa Airtel Rebecca Mauma (kushoto) akifafanua jambo wakati wa kuzindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani