VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA MSASANI
Meneja wa Vodacom wa kibiashara wilaya ya Kinondoni Edger Jonas akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa duka jipya la Vodacom maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia kutoka kulia kwake ni Meneja wa Mauzo ya rejareja Elihuruma Ngowi, Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim na Msimamizi wa Maduka ya Vodacom Magret Lawrence. Uzinduzi wa duka hilo unaifanya Vodacom kufikisha jumla ya maduka 76 yaliyokwisha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVodacom yafungua duka jipya jengo la Quality Centre Uchumi
Duka hili jipya lenye mazingira rafiki kwa wateja litakuwa linatoa huduma mbalimbali kwa wateja wa Vodacom ikiwemo huduma kwa mawakala wa Mpesa na...
10 years ago
GPLVODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA JENGO LA QUALITY CENTRE UCHUMI
11 years ago
Habarileo04 Apr
Tigo yafungua duka jipya Songea
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imefungua duka jipya la huduma kwa wateja mjini Songea. Duka hilo litarahisisha upatikanaji wa huduma zake kwa wateja, ambao awali walikuwa hawana namna ya kupata huduma za moja kwa moja kutoka kwenye kampuni hiyo ya simu.
9 years ago
GPLAIRTEL YAFUNGUA DUKA JIPYA MJINI MOSHI
10 years ago
Habarileo23 Oct
Voda yafungua duka jipya Quality Centre
KATIKA kuhakikisha wakazi wa Temeke na Ilala wanapata huduma kwa karibu, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom imefungua duka jipya katika jengo la Quality Centre Uchumi.
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
Kampuni ya Tigo yafungua Duka jipya la kisasa Sumbawanga Mjini
Katibu tawala mkoa wa Rukwa, ndugu Smythies Pangisa(kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Sumbawanga mjini, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kusini Jackson Kiswaga na katikati ni meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana.
Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana(katikati) akitoa maelekezo kwa mgeni rasmi Katibu tawala mkoa wa Rukwa ndugu Smythies Pangisa jinsi watakavyo hudumia wateja,...
9 years ago
MichuziVODACOM YAZINDUA WIKI YA WATEJA KWA KUFUNGUA DUKA JIPYA DAR
5 years ago
MichuziVodacom yaendelea kusogeza huduma karibu na wateja wake, yazindua duka jipya la kisasa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam
11 years ago
MichuziAirtel yafungua duka la kisasa Mwanza
Mkuu wa kitengo cha huduma za wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba (kulia) akimwonyesha mgeni rasmi Mrakibu mwandamizi wa...