VODACOM YAZINDUA WIKI YA WATEJA KWA KUFUNGUA DUKA JIPYA DAR

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Bw.Keith Tukei akikata utepe kuzindua duka la Vodacom la Ubungo lililopo eneo la flats za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wanaoshuhudia katikati ni Farida Yahya mteja wa kwanza kufika dukani hapo na wa kwanza kulia ni Meneja wa duka hilo Bi.Jacqueline Twissa.
Baadhi ya wafanyakazi katika duka hili wakijiandaa kuanza kupokea wateja muda mfupi baada ya kuzinduliwa rasmi leo.
Wafanyakazi wa Vodashop Ubungo katika picha ya pamoja na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Vodacom yaendelea kusogeza huduma karibu na wateja wake, yazindua duka jipya la kisasa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam



10 years ago
Dewji Blog03 Jun
Tigo yazindua Duka jipya Moshi
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas T. Gama aikata utepe kuzindua rasmi Tawi la Tigo Moshi Mjini jana, wanaoshuhudia kulia ni Gwamaka Mwakilembe, Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini na kushoto ni Meneja wa ubora huduma kwa wateja Tigo, Mwangaza Matotola.
Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas Gama juu ya bidhaa zilizopo ndani ya Duka la Tigo lililozinduliwa Moshi Mjini jana.
Kampuni ya simu...
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Tigo yazindua Duka Jipya Ifakara
Katibu Tawala wilaya ya Kilombero ndugu Yahya Naniya akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Ifakara mjini, kutoka kushoto ni Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya Pwani, Isack Shoo, Inspekta Dotto Ngimbwa kutoka ofisi ya OCD Kilombero na mwisho kulia Mkurugenzi wa Tigo kanda ya mashariki Goodluck Charles.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya mashariki, Goodluck Charles akizungumza machache kwenye hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
Katibu...
11 years ago
GPL
VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA MSASANI
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
TIGO yazindua duka jipya Musoma Mjini
Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini , Mhe.Zelothe Stephen akikaribishwa na mwenyeji wake, Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo kabla ya uzinduzi wa tawi jipya la Tigo Musoma mjini. Wengine pichani ni Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mara, Philip Kalangi na mwakilisi wa RAC.
Meneja wa Mauzo wa Tigo Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo akitoa utambulisho kwa meza kuu.
Meneja wa Mauzo Tigo Kanda ya Ziwa, Edgar Mapande akiongea na wageni waalikwa na wanahabari kabla ya uzinduzi wa Duka la...
11 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Airtel yazindua wiki ya huduma kwa wateja
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imejipanga kikamilifu kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzitambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na kuthamini umuhimu wa wateja. Airtel,...
11 years ago
Habarileo07 Oct
Airtel Tanzania yazindua wiki ya huduma kwa wateja
KAMPUNI ya simu za mkononi Airtel imejipanga kikamilifu kushehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kutambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na umuhimu wa wateja.
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
9 years ago
MichuziAMANA BANK YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Benki ya...