Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHUMI GOES M-PESA, AS VODACOM LAUNCHES SHOP AT QUALITY CENTRE

Meneja Mkazi wa Uchumi Supermarket Chriss Lenana (kushoto) na Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Hassan Saleh  wakikata utepe kuzindua rasmi duka la Vodacom ndani ya Uchumi Supermarket ikiwa ni huduma ya kwanza na ya kipekee nchini. Duka hilo linawawezesha wateja wa Vodacom kupata huduma za kampuni ikiwemo moderm, vocha, usajili wa nambari zao, M-pesa n.k wanapofika kwenye Supermarket hiyo kwa ajili ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom yafungua duka jipya jengo la Quality Centre Uchumi

Katika kuhakikisha wakazi wa Temeke na Ilala wanapata huduma kwa karibu,Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom leo imefungua duka jipya katika jengo la Quality Centre Uchumi  lililopo katika barabara ya Nyerere ambalo ni moja ya kituo kikubwa cha biashara jijini Dar es Salaam likiwa na maduka makubwa,ukumbi wa sinema,sehemu za burudani na maofisi.
Duka hili jipya lenye mazingira rafiki kwa wateja litakuwa linatoa huduma mbalimbali kwa wateja wa Vodacom ikiwemo huduma  kwa mawakala wa Mpesa na...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA JENGO LA QUALITY CENTRE UCHUMI‏

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa wa kwanza toka kulia pamoja na Meneja wa duka hilo Irene Njovu na Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Hassan Saleh wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa duka jipya na la kisasa la Vodacom Tanzania,lililopo Quality Centre katika   barabara ya Nyerere ambalo ni moja ya kituo kikubwa cha biashara jijini Dar es Salaam.… ...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM M-PESA SASA KUTUMA PESA NCHINI KENYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa kutuma na kupokea pesa nchini Kenya kwa njia ya M-PESA. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo wa Benki Kuu ya Tanzania, Bernard Dadi (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Isack Nchunda wakimsikiliza jambo Meneja wa Mifumo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Huduma hii mpya ambayo imebuniwa na makampuni haya yanayoongoza kutoka huduma za mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki itawawezesha wateja wake kutuma pesa kwa kutozwa viwango sawa na vinavyotumika...

 

9 years ago

TheCitizen

Workers fear Uchumi will close shop

After a dismal performance both the  Tanzanian Uchumi supermarket branch and 460 members of its staff await response from investors expected on Friday.

 

10 years ago

Habarileo

Voda yafungua duka jipya Quality Centre

KATIKA kuhakikisha wakazi wa Temeke na Ilala wanapata huduma kwa karibu, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom imefungua duka jipya katika jengo la Quality Centre Uchumi.

 

9 years ago

Michuzi

POP UP SHOP YANOGESHA MAANDALIZI YA SWAHILI FASHION WEEK CHINI YA VODACOM

Mwanamitindo atakaye shiriki kwenye maonesho ya Swahili Fashion Week, Nancy Bondo (kulia) akimvisha shanga ya shingoni mteja wake Francisca Mawala,mara baada ya kuinunua wakati wa maonesho ya ” Pop Up Shop”yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika makazi ya Balozi wa Itali nchini ikiwa ni maandalizi kwa wanamitindo nchini kuelekea Onesho la Swahili Fashion week litakalofanyika Disemba 4-6 2015 na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.Mwanamitindo atakaye shiriki kwenye maonesho ya Swahili Fashion...

 

9 years ago

TheCitizen

TZ launches centre for heart sciences

The Muhimbili University of Health and Allied Sciences (Muhas) has launched the Centre of excellence for Cardiovascular Sciences (CoECS) to develop a relevant and highly skilled workforce in biomedical sciences.

 

11 years ago

Michuzi

EAC LAUNCHES DIGITAL RESOURCE CENTRE

By Anthony Ishengoma- Arusha Ministers responsible for East African Community Affairs have today launched a modern Resource Centre on the sidelines of the on-going 29th Extra Ordinary Council of Ministers Meeting at the EAC Headquarters in Arusha, following  growing demand to expanding modern digital library services across Partner States.   Speaking during the launching of the Resource Centre the EAC Secretary General Richard Sezibera said that the library would develop an archive to...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani