Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanyabiashara ajiua

MFANYABIASHARA maarufu wa madini ya dhahabu amejiua kwa kujipiga risasi kichwani. Amefanya hivyo wakati akiwakimbia wananchi wenye hasira na wachimbaji wadogo kwenye machimbo ya Kalole Kata ya Bugarama wilaya ya Kahama, baada ya kumjeruhi mguuni kwa kumpiga risasi mchimbaji mdogo wa machimbo hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi

MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.

 

10 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa

MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo eneo la Shams, jijini hapa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Muuaji ajiua Marekani

Polisi nchini Marekani imesema muuaji wa Waandishi wawili wa habari nchini humo, amefariki dunia baada ya kujijeruhi wa risasi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Balozi wa Libya Tanzania ajiua

Balozi wa Libya nchini Tanzania, Ismail Nwairat, amejiua kwa kujipiga risasi kichwani.

 

9 years ago

GPL

MUUAJI WA WATANGAZAJI MAREKANI AJIUA!

Muuaji wa waandishi wawili wa kituo cha TV WDBJ, Vester Lee Flanagan, akitangaza katika kituo hicho kabla ya kufukuzwa kazi. Mtangazaji wa kituo cha  TV WDBJ, Alison Parker, enzi za uhai wake. Mpiga picha, Adam Ward, enzi za uhai wake.…

 

10 years ago

Habarileo

Achinja mkewe, naye ajiua

MWANAMUME mwenye umri wa miaka 30 amejinyonga kwa kamba ya katani hadi kufa baada ya kumuua mkewe kwa kumchinja shingo kwa kisu kutokana na kile alichodai kuwa ni kudharauliwa na mkewe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amuua mtoto wa kambo, ajiua

MWANAKIJIJI wa Mbuye, wilayani Chato, mkoani Geita, Alone Said (25), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo, Angelina Dickson, wa mwaka mmoja na miezi minane kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Aua watu 8 naye ajiua Canada

Polisi nchini Canada wanasema kuwa watu 8 wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu mmoja ambaye naye alijiuua.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI AJIUA BAADA YA KUSHINDWA UCHAGUZI

Waziri wa serikali za mitaa nchini Malawi, Godfrey Kamanya, amejiua baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu siku ya Jumanne. Waziri huyo alijipiga risasi nyumbani kwake baada ya kupata taarifa za kushindwa. Matokeo ya kura bado hayajatangazwa rasmi katika kile kinachosemekana kuwa uchaguzi wenye ushindani mkali sana. Afisa mkuu wa uchaguzi, amesema kuwa mfumo wa elektroniki umeharibika na maafisa wanatumia matokeo kwa njia ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani