Aua watu 8 naye ajiua Canada
Polisi nchini Canada wanasema kuwa watu 8 wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu mmoja ambaye naye alijiuua.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Dec
Aua mama mkwe, mwanawe naye ajiua
MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
10 years ago
CloudsFM04 Dec
NEWS: AUA MAMA MKWE, MWANAWE NAYE AJIUA
MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
Pia amemjeruhi mkewe kabla ya kujiua kwa kujichoma na kisu tumboni, kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema tukio hilo ni la Jumamosi iliyopita.
Waliouawa walitajwa kuwa ni Sarah Mango wa miaka kati ya 60 na 70 na mtoto, Amina Jumanne mwenye umri wa miaka miwili,...
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Aua mtoto, ajiua kisa meseji
10 years ago
Vijimambo06 Jan
Aua, ajiua, aacha ujumbe wa kurasa nne
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2579930/highRes/915412/-/maxw/600/-/87tamy/-/ushahidi.jpg)
Songea. Mfanyabiashara wa mbao Manispaa ya Songea, Emmanuel Moshi (40), mkazi wa Marangu, mkoani Kilimanjaro amemuua mfanyabiashara mwenzake aliyetambuliwa kwa jina la Didas Alphonce (64), mkazi wa Kilema Kilimanjaro kwa kumpasua...
10 years ago
Habarileo24 Oct
Achinja mkewe, naye ajiua
MWANAMUME mwenye umri wa miaka 30 amejinyonga kwa kamba ya katani hadi kufa baada ya kumuua mkewe kwa kumchinja shingo kwa kisu kutokana na kile alichodai kuwa ni kudharauliwa na mkewe.
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Aua kikongwe, naye auawa
10 years ago
Habarileo03 Jul
Aua kikongwe, muuaji naye auawa
KIKONGWE Yohana Msumari anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 80, ameuawa kikatili kwa kutenganishwa mwili na kichwa na kisha wauaji hao kukihifadhi kichwa hicho kwenye mfuko wa plastiki chini ya mwembe.
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Aua mkewe naye auawa Arusha
10 years ago
Bongo Movies30 Mar
Haya Ndio Maelezo ya JB Kuhusu Watu Wanaotaka Kuigiza Naye
Habari,mara nyingi nimekuwa nikipokea maombi ya watu kutaka kuigiza, jamani kuna team ya ma director ndio wanafanya kazi hii sio mimi, na hawawezi kukuchagua kwa kusema tu, mpaka wakuone ukiigiza mahali nawavutiwe.
Please anza hata kwenye tamthilia.naamini wapo waigizaji wengi wenye vipaji lakini ni lazima uanzie sehemu kabla ya kufika kwetu.asante. JB ameandika haya kwenye ukurasa mtandaoni.