Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aua kikongwe, muuaji naye auawa

KIKONGWE Yohana Msumari anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 80, ameuawa kikatili kwa kutenganishwa mwili na kichwa na kisha wauaji hao kukihifadhi kichwa hicho kwenye mfuko wa plastiki chini ya mwembe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Aua kikongwe, naye auawa

Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Mabalanga wilayani Kilindi, Hassani Said (28) amemuua kwa kumkata na jembe kichwani bibi yake, lakini baadaye akauawa na wananchi wa eneo hilo.

 

9 years ago

Mwananchi

Aua mkewe naye auawa Arusha

Mume amemuua mkewe kwa kumchoma kisu kifuani jiji hapa kwa kile kinachodaiwa ni masuala ya kimapenzi na baadaye mume huyo kuuawa na wananchi waliochukizwa na tukio hilo.

 

11 years ago

Michuzi

aua kikongwe baada kufanya unyama manetomango, wengine adakwa na bangi kilo 12 na lita 21 za gongo bagamoyo


Na John Gagarini, KibahaJESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia Fikiri Mwinyimvua (35) mkazi wa Mfuru Kivukoni kata ya Marumbo Tarafa ya Maneromango wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kwa tuhuma za kumlawiti bibi kizee mwenye umri wa miaka (60) kisha kumwua kwa kumnyonga shingo.Kabla ya kumwua mtuhumiwa alikuwa akinywa pombe za kienyeji  na marehemu lakini aliwahi kuondoka eneo la kinywaji kisha kumvizi marehemu na kumfanyia vitendo hivyo ambavyo vilisababisha kifo chake.Akithibitisha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Aua watu 8 naye ajiua Canada

Polisi nchini Canada wanasema kuwa watu 8 wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu mmoja ambaye naye alijiuua.

 

10 years ago

Habarileo

Aua mama mkwe, mwanawe naye ajiua

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeMKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.

 

10 years ago

CloudsFM

NEWS: AUA MAMA MKWE, MWANAWE NAYE AJIUA

MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
Pia amemjeruhi mkewe kabla ya kujiua kwa kujichoma na kisu tumboni, kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema tukio hilo ni la Jumamosi iliyopita.

Waliouawa walitajwa kuwa ni Sarah Mango wa miaka kati ya 60 na 70 na mtoto, Amina Jumanne mwenye umri wa miaka miwili,...

 

11 years ago

CloudsFM

KIKONGWE AUAWA KWA KUCHARANGWA MAPANGA AKIWA NA WAJUKUU ZAKE WAWILI

Matukio ya mauaji ya wanawake vikongwe kutokana na ugomvi wa mashamba yameendelea kujitokeza mkoani Shinyanga ambapo huko katika kitongoji na kijiji cha Magwata kata ya Mwamalili katika manispaa ya Shinyanga,mwanamke aitwaye Sayi Nyenje(75) ameuawa kwa kukatwa mapanga shingoni na kiganjani akiwa amelala na wajukuu zake.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari kutoka wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SAP Justus Kamugisha tukio hilo limetokea Julai 23,mwaka huu saa 11 alfajiri.

...

 

10 years ago

Vijimambo

Askari Polisi aliyeuliwa kikatili Mkoani Dodoma aagwa leo, Muuaji naye auliwa na wananchi

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu akiongoza leo waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa Askari Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI aliyeuwawa huko Chango’ombe ya juu Mkoani Dodoma na mtu aliyefamika kwa jina la TISSI SIRIL MALYA.Wasifu wa marehemu ukisomwa Maombolezo wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa askari huyo shujaaNa Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kama Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema...

 

11 years ago

Mwananchi

Amchinja mtoto, naye auawa D’Salaam

Watu wawili wamefariki dunia katika tukio lililokuwa na mwendelezo, mmoja akimchinja mtoto na yeye kuuawa kwa kupigwa mawe na wananchi wenye hasira

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani