Askari Polisi aliyeuliwa kikatili Mkoani Dodoma aagwa leo, Muuaji naye auliwa na wananchi
![](http://2.bp.blogspot.com/-TutPqtHSKEY/VNN7ThDmasI/AAAAAAAHB_o/ex3b-jQDxFc/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu akiongoza leo waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa Askari Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI aliyeuwawa huko Chango’ombe ya juu Mkoani Dodoma na mtu aliyefamika kwa jina la TISSI SIRIL MALYA.
Wasifu wa marehemu ukisomwa
Maombolezo wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa askari huyo shujaaNa Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kama Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TutPqtHSKEY/VNN7ThDmasI/AAAAAAAHB_o/ex3b-jQDxFc/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA LEO MKOANI DODOMA, MTUHUMIWA WA MAUAJI AUWAWA NA WANANCHI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa7lPzCa*8sSRln*MWDqjiJvO5piuvfUTApPhE-m6*dm0gz2LN1ZVTfwh1h2UgfX9XrE8StQlnrsfHtKzht0HSve/a.jpg?width=650)
ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA MKOANI DODOMA
11 years ago
MichuziASKARI POLISI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI WAAGWA LEO MKOANI DODOMA TAYALI KWA MAZISHI
Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya Askari hao.
Pia amewataka madereva wote kuwa waangalifu wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kujitokeza za namna hii.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OerbZaD2pr4/VNIvpasfb0I/AAAAAAAHBqY/1HX9EnzzoYc/s72-c/ddm.jpg)
JUST IN: ASKARI AUWAWA KIKATILI DODOMA AKITEKELEZA MAJUKUMU YAKE.
![](http://2.bp.blogspot.com/-OerbZaD2pr4/VNIvpasfb0I/AAAAAAAHBqY/1HX9EnzzoYc/s1600/ddm.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ihAeq2lwCdg/UuzPXTi1mPI/AAAAAAAFKGc/ouElErufAro/s72-c/unnamed+(61).jpg)
ASKARI POLISI WATANO MKOANI DODOMA WAFARIKI DUNIA PAPOHAPO KATIKA AJALI YA GARI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ihAeq2lwCdg/UuzPXTi1mPI/AAAAAAAFKGc/ouElErufAro/s1600/unnamed+(61).jpg)
Askari polisi watano mkoani dodoma wafariki dunia papohapo katika ajali ya gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya 23.45 hrs katika barabara kuu ya Dodoma – Morogoro eneo la Mtumba Center, Kata ya Mtumba Tarafa ya Kikombo Manispaa ya Dodoma, ambapo gari namba T.770 ABT Toyota Corolla lililokuwa likiendeshwa na Askari namba H. 3783 PC DEOGRATIUS wa Polisi Wilaya ya Kongwa likitokea Dodoma mjini likielekea Wilayani Kongwa liligongana uso kwa uso...
9 years ago
StarTV17 Nov
Polisi mkoani Kilimanjaro yamsaka mtuhumiwa wa mauaji ya kikatili
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linamsaka mtuhumiwa wa mauaji ya Kinyama aliyefahamika kwa jina moja la Edward baada ya kuwaua kwa kuwakata mapanga na shoka watoto wake wawili pamoja na mke wake Janeth Lazaro katika Kijiji cha Koboko Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Fulgence Ngonyani amesema mtuhumiwa amefanya unyama huo majira ya saa nane usiku na kutokomea kusikojulikana .
Majina ya Watoto waliouawa ni Glory Edward , Caren Edward...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-D7aBEz9MuL8/U9_aEPYUiaI/AAAAAAAF9G0/M2R0rh4cXiU/s72-c/IMG-20140802-WA0008.jpg)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM: ASKARI POLISI FEKI WA USALAMA BARABARANI ALIYEKUWA ANATAPELI WANANCHI AKAMATWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-D7aBEz9MuL8/U9_aEPYUiaI/AAAAAAAF9G0/M2R0rh4cXiU/s1600/IMG-20140802-WA0008.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kD77rECHH3Y/U9_aIYYQvLI/AAAAAAAF9G8/E7ptUtKJJIw/s1600/IMG-20140802-WA0009.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HVsJMGImD_U/VA8xDSU_2pI/AAAAAAAGiQM/L2CK91YSXw4/s72-c/ae686fcdda19248aa327d70e25fb915e.jpg)
Askari wa Usalama barabarani aliyefariki katika ajali kisarawe aagwa leo, mwili wake wasafirishwa kwenda bunda kwa mazishi
![](http://3.bp.blogspot.com/-HVsJMGImD_U/VA8xDSU_2pI/AAAAAAAGiQM/L2CK91YSXw4/s1600/ae686fcdda19248aa327d70e25fb915e.jpg)
10 years ago
Habarileo03 Jul
Aua kikongwe, muuaji naye auawa
KIKONGWE Yohana Msumari anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 80, ameuawa kikatili kwa kutenganishwa mwili na kichwa na kisha wauaji hao kukihifadhi kichwa hicho kwenye mfuko wa plastiki chini ya mwembe.