Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askari wa Usalama barabarani aliyefariki katika ajali kisarawe aagwa leo, mwili wake wasafirishwa kwenda bunda kwa mazishi

Askari wa Usalama barabarani wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Koplo John John Masele aliyepata ajali  ya gari na kufariki  dunia hapo hapo maeneo ya Kisarawe, mkoa wa Pwani, juzi. Hii na baada ya mwili wake kuagwa jijini Dar es salaam kabla ya kusafirishwa kuelekea kwao Bunda mkoa wa Mara.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

JK atuma salam za rambirambi za msiba wa mama mzazi wa Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale, mwili wasafirishwa kwenda Mbeya leo kwa mazishi

   Kulia ni Kulwa na kushoto ni Dotto Mwaibale wakiwa na sura za Majonzi wakati wa Ibada fupi ya Kumuombea Mama yao Mpendwa kabla ya kuanza Safari ya kwenda Mbeya Wa kwanza Kulia ni Mdogo wao wa Mwisho wa Akina Mwaibale Ambwene  na wa pili kutoka kulia ni Dada yao Mkubwa wa akina Mwaibale  Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti  Shughuli za Vijana Taifa. IMG_9952

Mwili wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mfumu mama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale ukiwa unaandaliwa tayari kwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Mwili wa Dotto Mzava wa JF wasafirishwa kwenda Same kwa mazishi

1

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Jamii Forum, Dotto Mzava likishushwa kwenye gari maalum mara baada ya kuwasili katika Kanisa la Wasabato Manzese Uzuri jijini Dar kwa ajili ya sala ya kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro leo.

2

Mchungaji wa Kanisa la Adventist Wasabato akiendelea na ibada wakati wa ibada ya kumuombea marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Same, Kilimanjaro.

3

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media, Maxence Mello...

 

11 years ago

Michuzi

Mwili wa Mama Yake Zitto Kabwe Wasafirishwa Kwenda Kigoma kwa mazishi

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa CUF Profesa  Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi Ndege Ikiandaliwa Ili kuweza Kuingiza Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe Waheshimiwa Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mama Yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum  kuingiza kwenye ndege Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KULWA,DOTTO NA NICO MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA LEO KWA MAZISHI.

  Kulia ni Kulwa na kushoto ni Dotto Mwaibale wakiwa na sura za Majonzi wakati wa Ibada fupi ya Kumuombea Mama yao Mpendwa kabla ya kuanza Safari ya kwenda Mbeya Wa kwanza Kulia ni Mdogo wao wa Mwisho wa Akina Mwaibale Ambwene  na wa pili kutoka kulia ni Dada yao Mkubwa wa akina Mwaibale  Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti  Shughuli za Vijana Taifa  Mwili wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mfumumama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale ukiwa unaandaliwa tayari kwa kuombewa,...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA MAMA YAKE ZITTO, BI. SHIDA SALUM WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA KWA MAZISHI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba wakati wa kuuaga mwili wa mama yake kipenzi Bi. Shida Salum aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi.
Waheshimiwa wabunge na baadhi ya viongozi wakibeba jeneza lililobeba mwili wa marehemu mama yake Zitto Kabwe, Bi. Shida Salum kuingiza kwenye ndege tayari kwa safari ya kwenda Kigoma kwenye mazishi.…...

 

11 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI WAAGWA LEO MKOANI DODOMA TAYALI KWA MAZISHI

Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa uso na basi la Mohamed Trans wameagwa leo Mkoani Dodoma tayari kwa mazishi.
Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya Askari hao.
Pia amewataka madereva wote kuwa waangalifu wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kujitokeza za namna hii. Miili ya Askari...

 

10 years ago

Vijimambo

MWILI WA MAREHEMU MZEE FRANCIS KITIME WASAFIRISHWA KWA MAZISHI

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya marehemu Mzee Francis Raphael Kitime wakiwa katika ibada ya kumuombea jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya marehemu Mzee Francis Raphael Kitime wakiwa katika ibada ya kumuombea jana jijini Dar es Salaam.Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Huruma ya Wagonjwa Muhimbili akizunguka kulibariki jeneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Francis Raphael Kitime kwenye ibada ya kumuombea iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana kabla ya kusafirishwa kwenda Iringa kwa Mazishi. Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Huruma ya Wagonjwa Muhimbili akizunguka kulibariki jeneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Francis Raphael Kitime kwenye ibada ya kumuombea iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana kabla ya kusafirishwa kwenda Iringa kwa Mazishi.Familia ya marehemu Mzee Francis Raphael Kitime (mbele) wakiwa kwenye ibada ya kumuombea marehemu. Familia ya marehemu Mzee Francis Raphael Kitime (mbele) wakiwa kwenye ibada ya kumuombea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mazishi ya Mrakibu wa Polisi Capt.Kidai Senzala aliyefariki katika ajali ya Helikopta Dar

 Maafisa wa Polisi wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Capt. Kidai Senzala Kalise aliyefariki Novemba 29 mwaka huu katika ajali ya Helkopta iliyotokea Kipunguni B-Moshi Bar Dar es Salaam wakielekea katika makaburi ya familia huko Gonja Maore Wilaya ya Same mkoa wa Kilimanjaro Desemba 1, 2014.

Marehemu Kidai alikuwa Mrakibu wa Polisi na alizikwa kwa heshima zote za Kipolisi ikiwa ni kupigiwa mizinga na saluti mbalimbali za kipolisi kabla na baada ya maziko yake.

Helkopta...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mwili wa marehemu Dotto Mzava wa Jamii Forums wasafirishwa jana kuelekea Same Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dotto Mzava likishushwa Kwenye gari maalum mara baada ya kuwasili katika kanisa la Wasabato Manzese uzuri kwaajili ya sala ya kuombea kabla ya Mwili kusafirishwa kuelekea Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro.

Mchungaji wa kanisa la Adventist wasabato akiendelea na ibada wakati wa ibada ya kumuombea marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Same Kilimanjaro.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media Maxence Mello akitoa historia fupi ya Marehemu Dotto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani