MWILI WA MAREHEMU MZEE FRANCIS KITIME WASAFIRISHWA KWA MAZISHI
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya marehemu Mzee Francis Raphael Kitime wakiwa katika ibada ya kumuombea jana jijini Dar es Salaam.
Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Huruma ya Wagonjwa Muhimbili akizunguka kulibariki jeneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Francis Raphael Kitime kwenye ibada ya kumuombea iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana kabla ya kusafirishwa kwenda Iringa kwa Mazishi.
Familia ya marehemu Mzee Francis Raphael Kitime (mbele) wakiwa kwenye ibada ya kumuombea...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mwili wa marehemu Dotto Mzava wa Jamii Forums wasafirishwa jana kuelekea Same Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dotto Mzava likishushwa Kwenye gari maalum mara baada ya kuwasili katika kanisa la Wasabato Manzese uzuri kwaajili ya sala ya kuombea kabla ya Mwili kusafirishwa kuelekea Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro.
Mchungaji wa kanisa la Adventist wasabato akiendelea na ibada wakati wa ibada ya kumuombea marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Same Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media Maxence Mello akitoa historia fupi ya Marehemu Dotto...
9 years ago
MichuziMwili wa marehemu Dotto Mzava wa Jamii Forums wasafirishwa kuelekea Same Kilimanjaro kwaajili ya mazishi
Heshima za mwisho zikiendelea kutolewa kwa mwili wa marehemu Dotto Mzava kabla haujasafirishwa kuelekea Same Kilimanjaro kwaajili ya mazishi
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Mwili wa Dotto Mzava wa JF wasafirishwa kwenda Same kwa mazishi
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Jamii Forum, Dotto Mzava likishushwa kwenye gari maalum mara baada ya kuwasili katika Kanisa la Wasabato Manzese Uzuri jijini Dar kwa ajili ya sala ya kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro leo.
Mchungaji wa Kanisa la Adventist Wasabato akiendelea na ibada wakati wa ibada ya kumuombea marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Same, Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media, Maxence Mello...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mRFg4LljtRw/U4tF_lkiP1I/AAAAAAAAOqc/OGjKKokb-qk/s72-c/MAMA1.jpg)
Mwili wa Mama Yake Zitto Kabwe Wasafirishwa Kwenda Kigoma kwa mazishi
![](http://2.bp.blogspot.com/-mRFg4LljtRw/U4tF_lkiP1I/AAAAAAAAOqc/OGjKKokb-qk/s1600/MAMA1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-JyRfvncutDk/U4tGDZsYcOI/AAAAAAAAOq0/5doZhtC0aPk/s1600/mama4.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Zu2JNvyqDWU/U4tGAEydsNI/AAAAAAAAOqk/yVj5CyPa5ts/s1600/MAMA2.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d6seY-M3P61sR4cfeC*PqMstxtSIWMDPP*tcCVJRq5azd7aVCguZOay39jr*0iMjq7ajgbhJTiCofCEG0kF8sdD/zitto1.jpg?width=650)
MWILI WA MAMA YAKE ZITTO, BI. SHIDA SALUM WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA KWA MAZISHI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HVsJMGImD_U/VA8xDSU_2pI/AAAAAAAGiQM/L2CK91YSXw4/s72-c/ae686fcdda19248aa327d70e25fb915e.jpg)
Askari wa Usalama barabarani aliyefariki katika ajali kisarawe aagwa leo, mwili wake wasafirishwa kwenda bunda kwa mazishi
![](http://3.bp.blogspot.com/-HVsJMGImD_U/VA8xDSU_2pI/AAAAAAAGiQM/L2CK91YSXw4/s1600/ae686fcdda19248aa327d70e25fb915e.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
JK atuma salam za rambirambi za msiba wa mama mzazi wa Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale, mwili wasafirishwa kwenda Mbeya leo kwa mazishi
![IMG_9952](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_9952.jpg)
Mwili wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mfumu mama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale ukiwa unaandaliwa tayari kwa...
10 years ago
VijimamboRAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KULWA,DOTTO NA NICO MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA LEO KWA MAZISHI.
10 years ago
MichuziMWILI WA MAREHEMU MZEE SAMWELI NTAMBALA LWANGISA WAPOKELEWA BUKOBA, MAJONZI YATANDA KWA WANABUKOBA.
Mwili wa Marehemu Samuel Ntambala Luangisa uliwasili usiku wa kumkia leo katika Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera. Mauti yalimkuta akiwa Nchini Marekani na maziko yake itakuwa kesho jumatano june 3,2015. Wakati wa Uhai wake Marehe Samwel Luangisa aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Mkoa wa Kagera (ukiitwa ziwa magharibi), Aliwahi pia kuwa mbunge wa Bukoba Mjini, Meya...