MWILI WA MAREHEMU MZEE SAMWELI NTAMBALA LWANGISA WAPOKELEWA BUKOBA, MAJONZI YATANDA KWA WANABUKOBA.
Gari maalum kutoka Nchini Uganda lililobeba Mwili wa Mzee Samwel Ntambala Lwangisa ukiingia Bukoba. Na Faustine Ruta, Bukoba
Mwili wa Marehemu Samuel Ntambala Luangisa uliwasili usiku wa kumkia leo katika Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera. Mauti yalimkuta akiwa Nchini Marekani na maziko yake itakuwa kesho jumatano june 3,2015. Wakati wa Uhai wake Marehe Samwel Luangisa aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Mkoa wa Kagera (ukiitwa ziwa magharibi), Aliwahi pia kuwa mbunge wa Bukoba Mjini, Meya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMHE. SAMWELI NTAMBALA LWANGISA AZIKWA MJINI BUKOBA
9 years ago
VijimamboMWILI WA MAREHEMU DK KIGODA WAPOKELEWA JIJINI DAR
9 years ago
MichuziMWILI WA MAREHEMU DKT. ABDALAH KIGODA WAPOKELEWA JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo04 Aug
MWILI WA MAREHEMU MZEE FRANCIS KITIME WASAFIRISHWA KWA MAZISHI
10 years ago
VijimamboMSAFARA WENYE MWILI WA MAREHEMU SAMUEL LUANGISA WAACHA HUZUNI BUKOBA
Gari lenye mwili wa marehemu Samuel Luhangisa lililosindikizwa na msafara mrefu wa magari,na pikipiki nyuma yake limeacha huzuni kubwa kwa wakazi wa mji wa Bukoba.Msafara huo ulikatiza katika viunga vya mji huo ikiwa ni safari yake ya mwisho kabla ya kupumzishwa katika nyumba yake ya milele tarehe 3/Juni/2015.Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera)Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na...
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Komredi Kinana, Nape wahani msiba wa Jaji Mstaafu Lwangisa Bukoba mjini
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya Marehemu Jaji Mstaafu Samuel Luangisa nyumbani kwake kwa marehemu Kitendagulo, mjini Bukoba mkoani Kagera.Marehemu Luangisa ni miongoni mwa Waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti tofauti alikuwa mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi (Kagera),Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi...
10 years ago
MichuziMATUKIO YA MAZISHI YA MHE. SAMUELI NTAMBALA LUANGISA LEO JUMATANO JUNI 3, 2015 KITENDAGURO-BUKOBA.
Mamia ya Waakazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake wakiwemo na Wageni mbalimbali kutoka nje ya Mkoa huu na nje ya Nchi wamejitokeza kwa wingi kumzika marehemu Samuel Luangisa leo Jumatano juni 3, 2015 nyumbani kwake Kitendaguro nje kidogo na Mji wa Bukoba. Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera) Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.
Mbunge wa muleba...
10 years ago
VijimamboMAZISHI YA SAMUEL LUANGISA,MBUNGE NA MEYA WA ZAMANI WA BUKOBA MAJONZI YATAWALA
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Maneno ya Chopamchopanga Kuhusu Marehemu Kanumba Yaleta Majonzi
Leo Asubuhi kupita ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo Movies Juma Chikoka “Chopa Mchopanga” ambae amewahi kufanya kazi kwa karibu na marehmu Steven Kanumba toka enzi wakiwa Kaole, ameonyesha hisia zake za kumkumbuka sana Kanumba kitendo ambacho kimewafanya washabiki wengi nao kuonyesha kukuswa na andiko hilo nakupelekea komenti nyingi za majonzi kutawala kwenye post hiyo.
Chapa aliandika haya mara baadaya kuweka picha ya Kanumba;
“Too soon.. too young.. very talented Steven Kanumba.....