MWILI WA MAMA YAKE ZITTO, BI. SHIDA SALUM WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA KWA MAZISHI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba wakati wa kuuaga mwili wa mama yake kipenzi Bi. Shida Salum aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi. Waheshimiwa wabunge na baadhi ya viongozi wakibeba jeneza lililobeba mwili wa marehemu mama yake Zitto Kabwe, Bi. Shida Salum kuingiza kwenye ndege tayari kwa safari ya kwenda Kigoma kwenye mazishi.…...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Mwili wa Mama Yake Zitto Kabwe Wasafirishwa Kwenda Kigoma kwa mazishi



11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Mwili wa Mama yake Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe wasafirishwa kwenda Kigoma
Zitto Kabwe akiwa na Prof Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi.
Ndege ikiandaliwa ili kuweza kuingiza mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe.
Waheshimiwa Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum kuingiza kwenye ndege Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwenye mazishi.
Prof. Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na...
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
JK atuma salam za rambirambi za msiba wa mama mzazi wa Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale, mwili wasafirishwa kwenda Mbeya leo kwa mazishi

Mwili wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mfumu mama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale ukiwa unaandaliwa tayari kwa...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Mwili wa Dotto Mzava wa JF wasafirishwa kwenda Same kwa mazishi
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Jamii Forum, Dotto Mzava likishushwa kwenye gari maalum mara baada ya kuwasili katika Kanisa la Wasabato Manzese Uzuri jijini Dar kwa ajili ya sala ya kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro leo.
Mchungaji wa Kanisa la Adventist Wasabato akiendelea na ibada wakati wa ibada ya kumuombea marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Same, Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media, Maxence Mello...
10 years ago
VijimamboRAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KULWA,DOTTO NA NICO MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA LEO KWA MAZISHI.
11 years ago
Michuzi
Askari wa Usalama barabarani aliyefariki katika ajali kisarawe aagwa leo, mwili wake wasafirishwa kwenda bunda kwa mazishi

11 years ago
GPL
YANAYOJIRI KIGOMA KATIKA MAZISHI YA MAMA YAKE ZITTO
10 years ago
Vijimambo04 Aug
MWILI WA MAREHEMU MZEE FRANCIS KITIME WASAFIRISHWA KWA MAZISHI



9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mwili wa marehemu Dotto Mzava wa Jamii Forums wasafirishwa jana kuelekea Same Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dotto Mzava likishushwa Kwenye gari maalum mara baada ya kuwasili katika kanisa la Wasabato Manzese uzuri kwaajili ya sala ya kuombea kabla ya Mwili kusafirishwa kuelekea Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro.
Mchungaji wa kanisa la Adventist wasabato akiendelea na ibada wakati wa ibada ya kumuombea marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Same Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media Maxence Mello akitoa historia fupi ya Marehemu Dotto...