Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUST IN: ASKARI AUWAWA KIKATILI DODOMA AKITEKELEZA MAJUKUMU YAKE.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma          Leo tarehe 04.02.2015 majira ya saa 11:00 limetokea tukio baya na la kusikitisha la kuuawa kwa askari wa Polisi Mkoa wa Dodoma namba G.7168 PC JOSEPH ISACK SWAI.          Chanzo cha kuuawa huyu askari ni kwamba alipigiwa simu na Mtendaji wa Mtaa wa chang’ombe juu hapa Dodoma Mjini akimjulisha kuwa amepokea taarifa ofisini kwake kutoka kwa OLIVER BALTAZARI, MIAKA 52, MKAZI WA CHANG’OMBE JUU kuwa kijana wake aitwaye TISI S/O SIRILI MALYA ana mtesa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA LEO MKOANI DODOMA, MTUHUMIWA WA MAUAJI AUWAWA NA WANANCHI

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kama Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema kama alivyotoa taarifa jana tarehe 04/02/2015 kuhusiana na kuawa kwa Askari  Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI huko Chango’ombe ya juu Mkoani Dodoma na mtu aliyefamika kwa jina la TISSI S/O SIRIL MALYA.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dododoma lilianza msako wa kumtafuta mtuhumiwa huyo baada ya kufanya kitendo hicho cha kinyama cha kumkata kata kwa...

 

10 years ago

GPL

ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA MKOANI DODOMA

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu akiongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa Askari  Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI aliyeuwawa huko Chang’ombe ya juu mkoani Dodoma na mtu aliyefahamika kwa jina la TISSI SIRIL MALYA.
Maombolezo wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa askari huyo shujaa.…

 

10 years ago

Vijimambo

Askari Polisi aliyeuliwa kikatili Mkoani Dodoma aagwa leo, Muuaji naye auliwa na wananchi

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu akiongoza leo waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa Askari Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI aliyeuwawa huko Chango’ombe ya juu Mkoani Dodoma na mtu aliyefamika kwa jina la TISSI SIRIL MALYA.Wasifu wa marehemu ukisomwa Maombolezo wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa askari huyo shujaaNa Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kama Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema...

 

11 years ago

Habarileo

Aliyemuua kikatili dereva bodaboda, auawa kikatili

WANANCHI wamemuua mtuhumiwa wa mauaji wakati akijaribu kutoroka kutoka mjini Namanyere wilayani Nkasi, mkoani Rukwa.

 

10 years ago

Michuzi

MTU MMOJA AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI MKOANI DODOMA KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
 MTU mmoja anayedaiwa kuwa ni Jambazi ameuawa na wananchi baada ya kumpora mwananchi mmoja kiasi cha Sh. 2, 100,000= wa kijiji cha Igoji One Kata ya Mima katika Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP ameeleza kuwa tukio hilo la kumvamia mwananchi huyo huko nyumbani kwake Kijiji cha Igoji one aliyejulikana kwa jina la YARED S/O MAPATANO MSALILA limetokea mnamo...

 

9 years ago

Habarileo

Majaliwa aikumbusha UNHCR majukumu yake nchini

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) na mashirika rafiki kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa kati yao na Wizara ya Mambo ya Ndani, ya kusaidia huduma mbalimbali za kijamii ndani ya kambi za wakimbizi na vijiji vinavyozunguka kambi hizo.

 

5 years ago

Michuzi

NILAZIMA TAASISI ZA KILIMO ZIFANYE MAJUKUMU YAKE ILI KUENDELEA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dkt Geoffrey Mkamilo wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika ofisi za makao makuu ya Taasisi hiyo eneo la Makutupora Jijini Dodoma Leo Tarehe 11 Machi 2020.Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi na watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika...

 

10 years ago

GPL

TBS YAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM

Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu majukumu ya shirika hilo jinsi yanavyotekelezwa na kurugenzi ya udhibiti ubora. Kulia ni Ofisa Habari wa Idara Habari Maelezo, Frank Mvungi na Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile. Wanahabari wakichukua… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani