Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majaliwa aikumbusha UNHCR majukumu yake nchini

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) na mashirika rafiki kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa kati yao na Wizara ya Mambo ya Ndani, ya kusaidia huduma mbalimbali za kijamii ndani ya kambi za wakimbizi na vijiji vinavyozunguka kambi hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AKUTANA NA MWAKILISHI MKUU WA UNHCR NCHINI



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Antonio Canhandula (kulia), wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: ASKARI AUWAWA KIKATILI DODOMA AKITEKELEZA MAJUKUMU YAKE.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma          Leo tarehe 04.02.2015 majira ya saa 11:00 limetokea tukio baya na la kusikitisha la kuuawa kwa askari wa Polisi Mkoa wa Dodoma namba G.7168 PC JOSEPH ISACK SWAI.          Chanzo cha kuuawa huyu askari ni kwamba alipigiwa simu na Mtendaji wa Mtaa wa chang’ombe juu hapa Dodoma Mjini akimjulisha kuwa amepokea taarifa ofisini kwake kutoka kwa OLIVER BALTAZARI, MIAKA 52, MKAZI WA CHANG’OMBE JUU kuwa kijana wake aitwaye TISI S/O SIRILI MALYA ana mtesa...

 

5 years ago

Michuzi

NILAZIMA TAASISI ZA KILIMO ZIFANYE MAJUKUMU YAKE ILI KUENDELEA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dkt Geoffrey Mkamilo wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika ofisi za makao makuu ya Taasisi hiyo eneo la Makutupora Jijini Dodoma Leo Tarehe 11 Machi 2020.Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi na watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika...

 

11 years ago

Michuzi

UNHCR WAKABIDHI GARI MPYA KWA AJILI YA IDARA YA WAKIMBIZI NCHINI.

 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe (kushoto) akipokea ufungua wa gari kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Bi. Joyce Mends-Cole. Gari hiyo ambayo ni mpya aina ya Toyota Land Cruiser imetolewa na Shirika hilo kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kiutendaji zifanywazo na Idara ya Wakimbizi nchini iliyopo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Tukio la makabidhiano hayo lilifanyika katika ofisi za wizara...

 

10 years ago

GPL

TBS YAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM

Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu majukumu ya shirika hilo jinsi yanavyotekelezwa na kurugenzi ya udhibiti ubora. Kulia ni Ofisa Habari wa Idara Habari Maelezo, Frank Mvungi na Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile. Wanahabari wakichukua… ...

 

10 years ago

Michuzi

TBS YAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM LEO

 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu majukumu ya shirika hilo jinsi yanavyotekelezwa na kurugenzi ya udhibiti ubora. Kulia ni Ofisa Habari wa Idara Habari Maelezo, Frank Mvungi na Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

UNHCR wamkabidhi gari mpya Waziri Chikawe, kwa ajili ya Idara ya Wakimbizi nchini

PIX 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akipokea ufungua wa gari kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole. Gari hiyo ambayo ni mpya aina ya Toyota Land Cruiser imetolewa na Shirika hilo kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kiutendaji zifanywazo na Idara ya Wakimbizi nchini iliyopo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Tukio la makabidhiano hayo lilifanyika katika ofisi za wizara...

 

11 years ago

Dewji Blog

RC na RAS nchini kujengewa uwezo na kuhuisha uhai wa utekelezaji wa majukumu yao

01

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akifungua mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Mikoa nchini leo jijini Dar es salaam.

02

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Hawa Ghasia akimpongeza Mgeni Rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd na mara baada ya kufungua mkutano wa mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Mikoa nchini leo jijini Dar es salaam.

03

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani