Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBACHAWENE AKUTANA NA MWAKILISHI MKUU WA UNHCR NCHINI



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Antonio Canhandula (kulia), wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MH. MATHIAS CHIKAWE AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNHCR TANZANIA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi aliyekaa kutoka kushoto  Mh, Mathias Chikawe akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu shughuli za Idara ya Wakimbizi kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR nchini Tanzania  Joyce Mends-Cole aliyekaa kati kati. Mwakilishi huyo alimtembelea Waziri Chikawe leo katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kujitambulisha kwa Waziri huyo ambaye ameteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini Bw. Sana F.K. Jatta, alipokuja kumtembelea na kujadili juu ya ziara ya  Rais wa IFAD Mhe. Kanayo Nwanze mwezi Agosti 2015Mmoja wa wajumbe aliyeambatana na Bw. Jatta akifafanua jambo kwa Balozi Mulamula.Mazungumzo yakiendelea

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Salim akutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU),Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC Balozi Said Djinit ambaye alimtembelea nyumbani kwake jana kusalimiana naye. Balozi Djinit aliwahi kuwa Msaidizi wa Mheshimiwa Salim Ahmed Salim wakati akiongoza OAU.

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif akutana na Balozi wa Kuwait pamoja na mwakilishi wa shirika la afya duniani (WHO) nchini

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem, ofisini kwake Migombani. Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem, baada ya mazungumzo...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AKUTANA NA MWAKILISHI MKUU WA KANDA ICRC OFISINI KWAKE JIJINI DAR LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akimfafanulia jambo Mwakilishi Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) katika nchi za Djibouti, Kenya na Tanzania, Thierry Meyrat (wapili kulia) wakati Mkuu huyo pamoja na ujumbe wake walipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya kamati hiyo na Wizara. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke. Kushoto ni Profesa Umesh...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AAGANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO NCHINI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNIDO nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Emmanuel Kalenzi ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu kuaga Novemba 13, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwakilishi Mkazi wa UNIDO nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Emmanuel Kalenzi ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu kuaga Novemba 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje amkabidhi Hati za kazi Mwakilishi wa Heshima wa Mauritius hapa Nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M. Haule kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimkabidhi  Bw. Syed Nazre Abbas Rizvi Hati zinazomwezesha kufanya kazi kama Mwakilishi wa Heshima wa Mauritius nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Katibu Mkuu tarehe 12 Machi, 2014.  Bw. Syed Nazre Abbas Rizvi akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kupokea kibali cha kuwa Mwakilishi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAWEKEZAJI NCHINI POLAND

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto) akiwasilisha mada kuhusu kampuni yao ambayo inataka kuwekeza Tanzania kwenye kiwanda cha kusafisha dhahabu na ujenzi wa hoteli ya kimataifa huko Zanzibar. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Naibu Waziri wa Fedha, Bw. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilusha mawazo na viongozi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akimkaribisha Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, akijitambulisha kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa Balozi huyo, Ernest Bugingo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani