Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje amkabidhi Hati za kazi Mwakilishi wa Heshima wa Mauritius hapa Nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M. Haule kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimkabidhi Bw. Syed Nazre Abbas Rizvi Hati zinazomwezesha kufanya kazi kama Mwakilishi wa Heshima wa Mauritius nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Katibu Mkuu tarehe 12 Machi, 2014.
Bw. Syed Nazre Abbas Rizvi akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kupokea kibali cha kuwa Mwakilishi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AMUAGA BALOZI WA BRAZIL ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Naibu Katibu Mkuu mpya Mambo ya Ndani aanza kazi rasmi na kuwataka watumishi kutekeleza kauli mbiu ya “Hapa Kazi Tu”
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi mara baada ya kuanza kazi rasmi katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE, Obedi Mbaga.
Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano...
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AANZA KAZI RASMI NA KUWATAKA WATUMISHI KUTEKELEZA KAULI MBIU YA “HAPA KAZI TU”
Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano kati...
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Norway nchini
Picha na Reginald Philip.
11 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Mambo ya Nje azungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-a7N0xoXWXoY/VWXSIvfddiI/AAAAAAAAeAY/AvLtOv6lolE/s72-c/IMG-20150527-WA0013.jpg)
RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE NA BALOZI WA TANZANIA SAUDIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-a7N0xoXWXoY/VWXSIvfddiI/AAAAAAAAeAY/AvLtOv6lolE/s640/IMG-20150527-WA0013.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ceZl_-FiM1w/VWXW2zZlSOI/AAAAAAAAeA8/G1BiVYu6OLc/s640/IMG-20150527-WA0020.jpg)
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
HAPA KAZI TU: Naibu Katibu Mkuu Mambo ya ndani ya Nchi atembelea makao makuu ya Idara ya uhamiaji Kurasini jijini Dar es Salaam!
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto), akisalimiana na Kamishna wa Uhamiaji (Utawala na Fedha), Piniel Mgonja , wakati wa ziara ya kikazi Makao Makuu ya Uhamiaji,Kurasini jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile (kushoto), akimuonesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, baadhi ya Ofisi za Idara ya Uhamiaji,...