Aua mkewe naye auawa Arusha
Mume amemuua mkewe kwa kumchoma kisu kifuani jiji hapa kwa kile kinachodaiwa ni masuala ya kimapenzi na baadaye mume huyo kuuawa na wananchi waliochukizwa na tukio hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Aua kikongwe, naye auawa
10 years ago
Habarileo03 Jul
Aua kikongwe, muuaji naye auawa
KIKONGWE Yohana Msumari anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 80, ameuawa kikatili kwa kutenganishwa mwili na kichwa na kisha wauaji hao kukihifadhi kichwa hicho kwenye mfuko wa plastiki chini ya mwembe.
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Aua watu 8 naye ajiua Canada
10 years ago
Habarileo04 Dec
Aua mama mkwe, mwanawe naye ajiua
MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Mwinjilisti aua mkewe, ajinyonga
MWINJILISTI wa Kanisa la Anglikana, Elikia Daniel (35), mkazi wa Kijiji cha Gama, wilayani Bagamoyo, Pwani, amemuua mkewe, Mboni Patrick (28) kwa kumkata na panga kichwani na kisha kumfukia kwa...
10 years ago
CloudsFM04 Dec
NEWS: AUA MAMA MKWE, MWANAWE NAYE AJIUA
MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
Pia amemjeruhi mkewe kabla ya kujiua kwa kujichoma na kisu tumboni, kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema tukio hilo ni la Jumamosi iliyopita.
Waliouawa walitajwa kuwa ni Sarah Mango wa miaka kati ya 60 na 70 na mtoto, Amina Jumanne mwenye umri wa miaka miwili,...
10 years ago
Habarileo06 Jul
Aua mkewe mjamzito wa miezi 9 kwa wivu
MLINZI wa usiku katika Ofisi za Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Florence Kazonde (35) amejinyonga baada ya kumuua kikatili kwa kumkaba koo mkewe aliyekuwa na ujauzito wa miezi tisa, Emilia Mzui (30).
10 years ago
Habarileo24 Oct
Achinja mkewe, naye ajiua
MWANAMUME mwenye umri wa miaka 30 amejinyonga kwa kamba ya katani hadi kufa baada ya kumuua mkewe kwa kumchinja shingo kwa kisu kutokana na kile alichodai kuwa ni kudharauliwa na mkewe.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ69yOhBnCt6I-aAkk2iVjXv*NRm*nOGv7ZBu60OpGM7vEVtFtMuoWC464IpCmQcJeIJjSuSTvbxN*2f*4hpyCApF/Mume.jpg?width=650)
MUME AMCHOMA KISU MKEWE, NAYE ANYWA SUMU