Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUME AMCHOMA KISU MKEWE, NAYE ANYWA SUMU

Mayasa Mariwata na Makongoro Oging’
MWANAMKE mmoja mwenye asili ya Kiarabu, Salma Amuri (39) (pichani) mkazi wa Mji Mpya, Kawe jijini Dar, amenusurika kifo baada ya kuchomwa visu sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo tumboni na mumewe aliyetambulika kwa jina moja la Selemani.Mwanaume huyo naye baada ya tukio hilo alijaribu kujiua kwa kunywa sumu, chanzo kikidaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Salma Amuri anayedaiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MADAI:KIGOGO AMCHOMA KISU MKEWE

Joseph Ngilisho aliyekuwa Pwani
KIGOGO wa shirika moja la kimataifa linalojishughulisha na watoto yatima, tawi la mkoani Pwani, Tanzania aliyetajwa kwa jina moja la Mugaka, anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 35 hadi 40, ametupwa rumande akituhumiwa kumchoma kisu na kumtoa manundu mkewe, Leah (28). Mke wa kigogo (Mugaka),Bi. Leah aliyefanyiwa unyama na mumewe. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri wilayani Kisarawe, Pwani...

 

10 years ago

Mwananchi

Mume auawa kwa kisu na hawara wa mkewe

Mkazi wa Tarafa ya Mang’ula wilayani Kilombero, Amon Nyenja amefariki dunia baada ya kuchomwa kwa kisu na anayedhaniwa kuwa ni hawara wa mke wake mdogo.

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI AMCHOMA KISU DEREVA DALADALA!

Na Makongoro Oging’
MAISHA haya siku hizi balaa tupu! Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kwembe, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam (jina limefichwa), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Magomeni kwa madai ya kumchoma kisu dereva wa daladala. Dereva akiwa miguuni mwa mwanafunzi. Uwazi limenasa mkasa huo uliotokea Juni Mosi, mwaka huu eneo la Manzese na kubaini kuwa aliyechomwa kisu...

 

11 years ago

GPL

WASTARA ANYWA SUMU!

Stori: Gladness Mallya
IKIWA imetimia mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu kifo cha mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, Jumamosi iliyopita amedaiwa kufanya jaribio la kutaka kujiua kwa kunywa sumu, Risasi Mchanganyiko limefuatilia tukio hilo hatua kwa hatua. Wastara akiwa kitandani baada ya kunywa sumu. KABLA YA YOTE
Awali, staa huyo ambaye amepitia mitihani mingi, alitundika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Msichana wa ndani aua tajiri yake, amchoma kisu kwenye Titi, afa papo hapo

DSC00179111

Kamanda wa polisi Mkoani Singida (SACP), Geofrey Kamwela.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

SAKATA la wafanyakazi wa ndani kunyanyaswa na mabosi wao limeingia katika sura ya kipekee safari hii mabosi wamegeukwa na kuuwawa na wafanyakazi hao.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mfanyakazi mmoja wa ndani Mkoani Singida, kumwua tajiri yake kwa kumchoma kwa kisu sehemu ya juu ya titi la kulia kwa madai ya kunyanyashwa na tajiri yake.

Kamanda wa polisi Mkoani Singida (SACP) Geofrey Kamwela alisema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mzee amchoma mkewe wa miaka 16 Kenya

Mzee mwenye umri wa miaka 70 aliyemchoma mkewe mwenye umri wa miaka 16 mjini Mandera kazkazini mashariki mwa Kenya amekamatwa.

 

10 years ago

Habarileo

Anywa sumu baada ya kunusurika kubakwa

JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtoto mmoja (16) ambaye ni mkazi wa barabara ya 20 jiijini humo, kwa kosa la kunywa sumu kwa lengo la kutaka kujiua, baada ya kunusurika kubakwa na baba yake wa kambo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mume amchoma mke sehemu za siri

Agnes Marwa (18), mkazi wa Mrito, Kata ya Kemambo, Wilaya ya Tarime, mkoani Mara, ameunguzwa sehemu za siri kwa moto baada ya mume wake kudaiwa kumkuta na Sh2,000 kwenye pochi.

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto anywa sumu baada ya kunusurika kubakwa

JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtoto mmoja (16) ambaye ni mkazi wa barabara ya 20 jiijini humo, kwa kosa la kunywa sumu kwa lengo la kutaka kujiua, baada ya kunusurika kubakwa na baba yake wa kambo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani