Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA ANYWA SUMU!

Stori: Gladness Mallya
IKIWA imetimia mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu kifo cha mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, Jumamosi iliyopita amedaiwa kufanya jaribio la kutaka kujiua kwa kunywa sumu, Risasi Mchanganyiko limefuatilia tukio hilo hatua kwa hatua. Wastara akiwa kitandani baada ya kunywa sumu. KABLA YA YOTE
Awali, staa huyo ambaye amepitia mitihani mingi, alitundika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Anywa sumu baada ya kunusurika kubakwa

JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtoto mmoja (16) ambaye ni mkazi wa barabara ya 20 jiijini humo, kwa kosa la kunywa sumu kwa lengo la kutaka kujiua, baada ya kunusurika kubakwa na baba yake wa kambo.

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto anywa sumu baada ya kunusurika kubakwa

JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtoto mmoja (16) ambaye ni mkazi wa barabara ya 20 jiijini humo, kwa kosa la kunywa sumu kwa lengo la kutaka kujiua, baada ya kunusurika kubakwa na baba yake wa kambo.

 

10 years ago

GPL

MUME AMCHOMA KISU MKEWE, NAYE ANYWA SUMU

Mayasa Mariwata na Makongoro Oging’
MWANAMKE mmoja mwenye asili ya Kiarabu, Salma Amuri (39) (pichani) mkazi wa Mji Mpya, Kawe jijini Dar, amenusurika kifo baada ya kuchomwa visu sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo tumboni na mumewe aliyetambulika kwa jina moja la Selemani.Mwanaume huyo naye baada ya tukio hilo alijaribu kujiua kwa kunywa sumu, chanzo kikidaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Salma Amuri anayedaiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mke wa Sumaye kunyang'anywa mashamba. Mke wa Sumaye kunyang'anywa mashamba.

Waziri Mkuu wa zamani, Fedrick Sumaye.
Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani, imewataja vigogo wanaohodhi maeneo makubwa ya ardhi bila ya kuyaendeleza na kuwapa siku 90 kuhakikisha wanayaendeleza, kinyume chake yatachukuliwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Tatu Suleiman, ilisema vigogo hao walinunua mashamba katika eneo hilo na kisha kuyaacha kwa muda mrefu bila kuyaendeleza akiwamo mke wa Waziri Mkuu...

 

9 years ago

Mtanzania

Wananchi watishwa kunyang’anywa uraia

Na Elias Msuya, Katavi

MAKADA wa Umoja wa Katiba ya Wananchi, (Ukawa), wamewataka wananchi wa Jimbo la Nsimbo mkoani Katavi, kutotishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa  watanyang’anywa uraia endapo watamchagua mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

Akizungumza na wananchi wa iliyokuwa kambi ya wakimbizi ya Katumba jana, Katibu wa Chadema Mkoa wa Katavi, Almas Ntije alisema CCM imekuwa ikiwatisha wananchi hao waliopewa uraia mwaka jana, kuwa watanyang’anywa uraia wao kama watachagua...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bill Gates anywa maji ya kinyesi

Bill Gates amekunywa maji yaliyotengezwa kutokana na kinyesi cha binaadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya ya maji safi

 

11 years ago

Habarileo

Waliotelekeza viwanja Kibaha kunyang’anywa

WATU walionunua viwanja katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha wakashindwa kuviendeleza, watanyang’anywa na kuuziwa wenye nia ya kuviendeleza; imeelezwa.

 

10 years ago

Habarileo

Watendaji wa Hazina wanyang’anywa tonge

Waziri wa Fedha, Saada MkuyaSERIKALI imezuia watendaji wote wa Msajili wa Hazina, kuingia katika bodi yoyote ya mashirika ya umma kuepuka mgongano wa maslahi.

 

10 years ago

Michuzi

WAKANDARASI UMEME WASIOWAJIBIKA KUNYANG’ANYWA TENDA

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (Meza Kuu-Katikati), akizungumza na wawakilishi wa Kampuni mbalimbali zinazohusika kusambaza umeme vijijini kutoka India, China na Sri Lanka zinazofanya kazi katika Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuhusu utekelezaji wa miradi husika. Wawakilishi wa Kampuni mbalimbali zinazohusika kusambaza umeme vijijini kutoka India, China na Sri Lanka zinazofanya kazi katika Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi pamoja na baadhi ya Mameneja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani