MADAI:KIGOGO AMCHOMA KISU MKEWE
![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxYbR3i4yXNyj6XasLqVbYu-CpDS-HmNva7u3Ln7CFIX-LM3oB-UEf5*fGVENqdN058kGNKmKCSDNl*GKqGFkM72/14.jpg?width=650)
Joseph Ngilisho aliyekuwa Pwani KIGOGO wa shirika moja la kimataifa linalojishughulisha na watoto yatima, tawi la mkoani Pwani, Tanzania aliyetajwa kwa jina moja la Mugaka, anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 35 hadi 40, ametupwa rumande akituhumiwa kumchoma kisu na kumtoa manundu mkewe, Leah (28). Mke wa kigogo (Mugaka),Bi. Leah aliyefanyiwa unyama na mumewe. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri wilayani Kisarawe, Pwani...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ69yOhBnCt6I-aAkk2iVjXv*NRm*nOGv7ZBu60OpGM7vEVtFtMuoWC464IpCmQcJeIJjSuSTvbxN*2f*4hpyCApF/Mume.jpg?width=650)
MUME AMCHOMA KISU MKEWE, NAYE ANYWA SUMU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx20JZq7BMJs2EW2Po7hlRbkWt-zDNwQBVmGSk0v-KmZ96FRUCMJwqUd-rim-7EKvOYbw5UgkJ3KdK4d*Zl15M-nd/FRONT.jpg)
MWANAFUNZI AMCHOMA KISU DEREVA DALADALA!
11 years ago
Dewji Blog01 Jul
Msichana wa ndani aua tajiri yake, amchoma kisu kwenye Titi, afa papo hapo
Kamanda wa polisi Mkoani Singida (SACP), Geofrey Kamwela.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
SAKATA la wafanyakazi wa ndani kunyanyaswa na mabosi wao limeingia katika sura ya kipekee safari hii mabosi wamegeukwa na kuuwawa na wafanyakazi hao.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mfanyakazi mmoja wa ndani Mkoani Singida, kumwua tajiri yake kwa kumchoma kwa kisu sehemu ya juu ya titi la kulia kwa madai ya kunyanyashwa na tajiri yake.
Kamanda wa polisi Mkoani Singida (SACP) Geofrey Kamwela alisema...
10 years ago
BBCSwahili07 May
Mzee amchoma mkewe wa miaka 16 Kenya
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60eu8IdRyLLb35CEFqhAIia2rHbjAvOWRH-Qsih4TjvNh1ZtRyjtI2zxYj2FM2yfnHVgZIW3UTkkufjoWGVC6MlWN/KISU.jpg?width=650)
ACHOMWA KISU AKIMTETEA MKEWE!
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mume auawa kwa kisu na hawara wa mkewe
9 years ago
Dewji Blog05 Sep
Tundu Lissu amshukia Dk.Slaa kwa madai ya kuponzwa na mkewe
Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea ubunge jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu,akizungumza kwenye mkutano wa kampeni ya Ukawa mkoa wa Singida uliofanyika kwenye uwanja wa Peoples mjini hapa.Pamoja na mambo mengine,Tundu amewaomba wakazi wa Singida, kumpa kura ya ndiyo mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Ngoyai Lowassa, wabunge na madiwani wa Ukawa,ili kuigaragaza CCM kwa madai imechoka na umechuja mbele ya macho ya Watanzania.
Mgombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia ukawa,...
10 years ago
Bongo509 Dec
Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!
9 years ago
StarTV02 Dec
Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure
Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure
Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.
Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...