ACHOMWA KISU AKIMTETEA MKEWE!
![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60eu8IdRyLLb35CEFqhAIia2rHbjAvOWRH-Qsih4TjvNh1ZtRyjtI2zxYj2FM2yfnHVgZIW3UTkkufjoWGVC6MlWN/KISU.jpg?width=650)
Chande Abdallah na Gabriel Ng’osha Inasikitisha! Kijana aliyefahamika kwa jina la Khalid Abdallah (30) mkazi wa Kigogo Sambusa jijini Dar, amefariki dunia kwa kuchomwa kisu na mtu aliyefahamika kwa jina la Amani huku mkewe aitwaye Aisha akishuhudia. Marehemu Khalid Abdallah enzi za uhai wake. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni saa 5 usiku maeneo ya kota za Karume jijini Dar ambapo inadaiwa Khalid alikuwa katika jitihada za...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGEL7fUSpggh6kbUgLNTQwLGcYt3pUq7Md6303qUGjZdyS*slmQBiaJZaKRho6YItU5xOJ4CVtaCSFrhWyxoBCGI/achomwaafa.jpg?width=650)
ACHOMWA KISU, AFIA POLISI
10 years ago
CloudsFM06 Mar
BALOZI WA MAREKANI ACHOMWA KISU MKUTANONI
BALOZI wa Marekani nchini Korea Kusini anaendelea kuuguza majeraha baada ya kushambuliwa kwa kisu na mtu mmoja mjini Seoul.
Balozi huyo Mark Lippert alishambuliwa na Mkorea Kim Ki-jong mwenye umri wa miaka 55 wakati mkutano wa kuziunganisha tena Korea Kusini na Kaskazini ukuiendelea. Lippert alijeruhiwa usoni na mkononi kwenye shambulio hilo amelazimika kushonwa nyuzi 80 usoni. Mkorea huyo Ki-jong amewahi kufungwa jela mwaka 2010 baada ya kujaribu kumshambulia balozi wa Japan alipokuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5SYuKLMNKFwr*nTJ6hKFEGHogGh8cL1EjHsMMn8ZxSgLnrIDMibNQi6-Y0BWWmUNGfn0*ZDay*mgC93m3s1uY3mJQ43e0*yr/6.jpg?width=650)
ACHOMWA KISU, KISA MGAWO WA FEDHA
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Mwalimu achomwa kisu akiwa shuleni
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SWXdzvDqQaLCrT1E7IRsnLpwwVPjjoHd9MHXPa4VzPzNUqueMWHAVN2mCyEtWm*EXELgGR29FxCZHfSn9oa8ToUlBiplRFJJ/BACKUWAZI.jpg?width=650)
MWENYE MKE ACHOMWA KISU NA MGONI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mza-*42r4qhrG8qQmvDPFRkfuIz4wus7C5gHR03eGue-2p84*QvXBGWriPwtJ5xH-1NUIdcwZP5XlihbWnzQvKNd9rn8eJ3F/kisu.jpg?width=650)
ACHOMWA KISU KISA MUME WA MTU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc4QBSWFJlwKHnNAqwq06PoMxdpASpB-LgjmQWlUrSzsVp681KkP9iHctbmIanzAvVRr7TarL27DnFQemMcrEFz-/Amanback80.gif)
DENTI MWENZAKE LULU ACHOMWA KISU, AFARIKI
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Mume achomwa kwa kumkumbuka marehemu mkewe
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxYbR3i4yXNyj6XasLqVbYu-CpDS-HmNva7u3Ln7CFIX-LM3oB-UEf5*fGVENqdN058kGNKmKCSDNl*GKqGFkM72/14.jpg?width=650)
MADAI:KIGOGO AMCHOMA KISU MKEWE