Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI WA MAREKANI ACHOMWA KISU MKUTANONI

BALOZI wa Marekani nchini Korea Kusini anaendelea kuuguza majeraha baada ya kushambuliwa kwa kisu na mtu mmoja mjini Seoul.

Balozi huyo Mark Lippert alishambuliwa na Mkorea Kim Ki-jong mwenye umri wa miaka 55 wakati mkutano wa kuziunganisha tena Korea Kusini na Kaskazini ukuiendelea. Lippert alijeruhiwa usoni na mkononi kwenye shambulio hilo amelazimika kushonwa nyuzi 80 usoni. Mkorea huyo Ki-jong amewahi kufungwa jela mwaka 2010 baada ya kujaribu kumshambulia balozi wa Japan alipokuwa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BALOZI WA MAREKANI ASHAMBULIWA KWA KISU KOREA KUSINI

Muonekano wa Balozi wa Marekani nchini Korea Kusini, Mark Lippert baada ya kuchomwa kisu Mark Lippert (katikati) akiwa anajifuta damu.…

 

9 years ago

GPL

ACHOMWA KISU AKIMTETEA MKEWE!

Chande Abdallah na Gabriel Ng’osha Inasikitisha! Kijana aliyefahamika kwa jina la Khalid Abdallah (30) mkazi wa Kigogo Sambusa jijini Dar, amefariki dunia kwa kuchomwa kisu na mtu aliyefahamika kwa jina la Amani huku mkewe aitwaye Aisha akishuhudia. Marehemu Khalid Abdallah enzi za uhai wake. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni saa 5 usiku maeneo ya kota za Karume jijini Dar ambapo inadaiwa Khalid alikuwa katika jitihada za...

 

11 years ago

GPL

ACHOMWA KISU, AFIA POLISI

Stori: Denis Mtima na Mayasa Maliwata INATISHA sana! Renard Mabula, mkazi wa Kiluvya jijini Dar es Salaam amekufa ndani ya Kituo cha Polisi cha Gogoni, Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kukimbilia hapo kufuatia kuchomwa kisu tumboni na mtu aliyetajwa kwa jina la Moleli (22), Uwazi lina mkanda kamili. Kwa mujibu wa habari za kipolisi, tukio hilo lilijiri Februari 11, mwaka huu, Gogoni ambako ndiko kwenye makazi ya mtuhumiwa...

 

11 years ago

GPL

ACHOMWA KISU KISA MUME WA MTU!

JESHIla polisi mkoani hapa linamshikilia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Pima Mabubu kwa tuhuma za kumchoma kisu mpaka kumjeruhi vibaya mwanamke mwenzake, Amina Hussein akidai ana uhusiano wa kimapenzi na mumewe, Adam Ndekeja, Risasi Jumamosi lina mkasa wote. Amina Hussein akipata matibabu katika hospital ya taifa Muhimbili. Tukio hilo lililowaacha watu vinywa wazi, lilijiri Aprili 22, mwaka huu shambani katika Kijiji cha...

 

10 years ago

GPL

MWENYE MKE ACHOMWA KISU NA MGONI!

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa Riego Solo (28), mkazi wa Mbezi ya Tangi Bovu, Dar es Salaam anadaiwa kuchomwa kisu kwenye koromeo katika jaribio la kuchinjwa na mgoni wake aliyejulikana kwa jina moja la Jacob akiwa katika harakati za kumzengea mkewe. Riego Solo (28), mkazi wa Mbezi ya Tangi Bovu akiuguza maumivu baada ya kuchomwa kisu na mgoni wake. Tukio hilo la kinyume na kawaida ya wanaofumania kufanya uhalifu,...

 

10 years ago

GPL

ACHOMWA KISU, KISA MGAWO WA FEDHA

Stori:Gregory Nyankaira, Butiama/Risasi Mchanganyiko MTU mmoja, Mugusuhi Nyarusahe (39) mkazi wa Kijiji cha Kinyambwiga wilayani Bunda, amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), cha Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara baada ya kucharangwa visu na wenzake tumboni, katika kile kilichodaiwa kuwa ni mzozo wa mgawo wa fedha zilizotokana na mauzo ya ng’ombe, tukio lililotokea wiki iliyopita. Bw. Mugusuhi Nyarusahe (39)...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwalimu achomwa kisu akiwa shuleni

Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mbagala, Dar es Salaam, Paulo Mwandemre (30) amejeruhiwa kwa kuchomwa kisu kifuani na ‘vibaka’.

 

10 years ago

GPL

DENTI MWENZAKE LULU ACHOMWA KISU, AFARIKI

WAANDISHI WETU, DAR CHAMIWA Adamu (23), kijana ambaye ni mkazi wa Kilimahewa- Manzese jijini Dar, ameuawa kwa kuchomwa kisu cha shingo na mtu aliyetambulika kwa jina moja la Mpelu kisa kikidaiwa ni shilingi mia mbili tu!
Marehemu Chamiwa (pichani)alikuwa mwanafunzi mwenzake na staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye Chuo cha Magogoni, Dar. Marehemu Chamiwa Adamu enzi za uhai wake. Tukio la...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani