Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanyabiashara afa ‘gesti’

Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha, Olais Metili mkazi wa Uzunguni jijini hapa, amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya Hoteli Diamond Motel iliyopo eneo la Sakina jijini hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MFANYABIASHARA KARIAKOO AKUTWA GESTI NA SHEMEJIYE GESTI

MFANYABIASHARA maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina moja la Devi, hivi karibuni alipatwa na soni ya aina yake baada ya kukutwa katika nyumba ya kulala wageni akiwa na mke wa rafiki yake wa karibu. Mfanyabiashara maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Devi baada ya kufumaniwa na mke wa rafikiye. Mtoa habari makini aliliambia gazeti...

 

11 years ago

GPL

MKE WA KIGOGO AFA GESTI

Stori: Makongoro Oging’
MMH! Majanga! Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Juliet Gaison Komba (37), mkazi wa Mbagala Kuu, Temeke, Dar hivi karibuni amekutwa na mauti akiwa Gesti ya Kigoma, Mbagala Charambe, Dar. Waombolezaji wakilia kwa unchungu kanisani. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, mwanamke huyo ambaye mumewe ni kigogo mwenye cheo cha mkurugenzi wa kampuni moja ya usafirishaji jijini Dar, alikutwa na mauti baada...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fundi radio afa baada ya kuzidiwa gesti

FUNDI radio maarufu mjini hapa, Daniel Mosha (53), amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Mkoa baada ya kuugua ghafla akiwa anafanya mapenzi na mwalimu mmoja katika nyumba ya...

 

11 years ago

GPL

TIMBWILI GESTI!

TIMBWILI la aina yake lilifumuka ndani ya gesti moja iliyopo Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam (jina kapuni), kufuatia kijana aliyefahamika kwa jina moja la Kelvin kumkuta chumbani mtu aliyedai ni mjomba wake, Joseph akiwa na mkewe wa ndoa, Emiliani. Mjomba wa Kelvin(Joseph) akimsihi Mpwa wake amsamehe mara baada ya kukutwa gesti na mke wa Kelvin. Mkasa huo wa ajabu ulijiri usiku wa Jumamosi iliyopita kwenye gesti hiyo...

 

11 years ago

GPL

BALAA GESTI

Stori: MWANDISHI WETU
DUNIA ina mambo jamani! Mfanyabiashara wa madini aliyefahamika kwa jina moja la Jimmy amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mkewe akiwa na kimada gesti. Tukio hilo lililofunga mtaa kwa kujaza wambea kibao, lilitokea hivi karibuni ndani ya gesti hiyo (jina tunalo) Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mke wa mfanyabiashara huyo (jina halikupatikana mara moja), alimnasa mumewe  akijiandaa...

 

11 years ago

GPL

VUNJA JUNGU GESTI

Stori:   Issa Mnally Richard Bukos Vunja jungu! Saa kadhaa kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, jamaa aliyetajwa kwa jina moja la Lugali ameibua sekeseke kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti), kisa kikidaiwa ni mchepuko akihusishwa na mke wa mpangaji wake, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa. Jamaa aliyetajwa kwa jina moja la Lugali  akihusishwa  kuchepuka na mke wa mpangaji wake, akiwa amenaswa kwenye...

 

11 years ago

GPL

WATOTO WANASWA GESTI!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
KWELI ni watoto! Wanafunzi wawili, wa kike ana miaka 14  (darasa la saba), wa kiume miaka 15 (kidato cha kwanza) mjini hapa wanadaiwa kukutwa ndani ya gesti moja ikisemekana walikuwa na lengo la kuivunjilia mbali amri ya sita ya Mungu. Binti huyo akidhibitiwa na polisi. Tukio hilo lililojaza umati lilijiri hivi karibuni katika gesti hiyo ambayo inadaiwa haina usajili halali iliyopo jirani...

 

10 years ago

GPL

WAZINZI WAAIBIKA GESTI

stori: Dustan Shekidele, Morogoro
JAMBO limezua jambo! Mapigano ya wakulima na wafugaji wa jamii ya kimasai yaliyotokea hivi karibuni katika Kitongoji cha Dumila, Wilaya ya Kilosa mkoani hapa yamewakurupua wazinzi waliokuwa wakifanya uchafu wao katika nyumba ya kulala wageni. Binti akiwa ndani ya chumba cha…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri aibiwa gesti

WIMBI la uhalifu limeendelea kushamiri katika nyumba za wageni hapa nchini ambapo safari hii watu wanaodhaniwa kuwa ni vibaka wamemwibia nguo na fedha Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani