BALAA GESTI
![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzp5IdYdSoWEwmRQ7RtFmCDDoC5t72EuqVrlG4OoKuhuH6QMBfTSJqSv58uhWSlWzDs4gQkixt7EN6gTjxd4G2AC/balaaa.jpg?width=650)
Stori: MWANDISHI WETU DUNIA ina mambo jamani! Mfanyabiashara wa madini aliyefahamika kwa jina moja la Jimmy amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mkewe akiwa na kimada gesti. Tukio hilo lililofunga mtaa kwa kujaza wambea kibao, lilitokea hivi karibuni ndani ya gesti hiyo (jina tunalo) Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mke wa mfanyabiashara huyo (jina halikupatikana mara moja), alimnasa mumewe akijiandaa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PJWh0QdBBecC1ZEw83YEwg-P1ZhSbReqM-2AKNGAPArarzP78pZ0IauK58oq1Tmb4q0jyhpFVkvVdw37MeBUxXL/mkewamtu.jpg?width=650)
MFANYABIASHARA KARIAKOO AKUTWA GESTI NA SHEMEJIYE GESTI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JH0C62scBfCDVC4TBwAPRNU4FgE8c-SDqwQfach4fL7u2ELCq*Wsbw5EZXVxY7*mh7Gkmn*8rVpSUQSyNEdjfh52JsN*s8Ok/timbwili.jpg)
TIMBWILI GESTI!
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Waziri aibiwa gesti
WIMBI la uhalifu limeendelea kushamiri katika nyumba za wageni hapa nchini ambapo safari hii watu wanaodhaniwa kuwa ni vibaka wamemwibia nguo na fedha Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YRV3Lv4YkEL1O79fS3xcFNRCVyDhHhiYW-HwzOYhQJnl1kObWbi5Wc2JwLJ9xk1P8d6qOwoK8cxjcW5IhbphrfInmXVK7NVL/Back.jpg?width=650)
WAZINZI WAAIBIKA GESTI
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Mfanyabiashara afa ‘gesti’
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5c3Ispmu1NtXwpZiIKDgC5Xq5k5XT63FX90J9MiYOIA8nNnu-5MOEGe7liQ0X6ikIZS2A2tF2UtoPeT6HLrUBk/gesti.jpg)
WATOTO WANASWA GESTI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVksoLD0tVDjAXqogBdJqxooFuC18buaoBXzJupNDYnVAg**oCDrPOhOea6B4q3R5iWEDxRJ4VM8bPMkyiQ6-ChH/JUNGU.jpg)
VUNJA JUNGU GESTI
10 years ago
CloudsFM05 Dec
MSUSI WA SALOON AFIA GESTI
Askari polisi pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya mtaa kata ya Gongoni manispaa ya Tabora akiangalia mwili wa mwanaume mmoja ambaye ni msusi katika moja ya Saloon za wanawake manispaa ya Tabora inayofahamika kama HK.
Mwanaume huyo ambaye amefahamika kwa jina la Ramadhani amekutwa amefariki dunia akiwa chumbani kwake katika nyumba ya kulala wageni inayofahamika kwa jina la SALAMA GUEST ambapo ilidaiwa kuwa alikuwa ameishi katika nyumba hiyo kwa muda wa siku tatu na hatimaye kufikwa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOob-eDRVbYhXo03OG5oCL5Rz69HBhdLiLoKclxS-ELU20XBMyepwyw7gW9uzbtN*n3*MEh70pGAxzlDE9SqPtyLS/TABORA.jpg?width=650)
MSUSI WA SALUNI AFIA GESTI!