Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VUNJA JUNGU GESTI

Stori:   Issa Mnally Richard Bukos Vunja jungu! Saa kadhaa kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, jamaa aliyetajwa kwa jina moja la Lugali ameibua sekeseke kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti), kisa kikidaiwa ni mchepuko akihusishwa na mke wa mpangaji wake, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa. Jamaa aliyetajwa kwa jina moja la Lugali  akihusishwa  kuchepuka na mke wa mpangaji wake, akiwa amenaswa kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MFANYABIASHARA KARIAKOO AKUTWA GESTI NA SHEMEJIYE GESTI

MFANYABIASHARA maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina moja la Devi, hivi karibuni alipatwa na soni ya aina yake baada ya kukutwa katika nyumba ya kulala wageni akiwa na mke wa rafiki yake wa karibu. Mfanyabiashara maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Devi baada ya kufumaniwa na mke wa rafikiye. Mtoa habari makini aliliambia gazeti...

 

11 years ago

Mwananchi

Natse: Rais vunja Bunge la Katiba

>Mjumbe wa Bunge Maalumu  la Katiba, Mchungaji Israel Natse amemshauri Rais  Jakaya Kikwete alipokonye Bunge hilo kazi hiyo na badala yake atengue kanuni kwa kuirudisha Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa ajili ya kufanya kazi hiyo.

 

11 years ago

GPL

WABONGO: CHONDECHONDE JK VUNJA BUNGE LA KATIBA

BAADA ya kutokea kwa sintofahamu ndani ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kwa wabunge wanaounda umoja wa Ukawa kutoka nje, wengi wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kukivunja chombo hicho. Rais Jakaya Kikwete akihutubia bungeni Dodoma. Tivoli Athuman, mkazi wa Mwenge jijini Dar, alisema ni bora Rais akalivunja bunge hilo kwa vile wajumbe wake wameonyesha udhaifu mkubwa wa kushindwa kutetea hoja zenye masilahi kwa wananchi, badala...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: VUNJA UKIMYA IKIWA HUSHIBI CHAKULA CHA USIKU!

SALAMU kwenu mashoga zangu, najua mko gado kama nilivyo mimi, leo ni siku nyingine tumekutana tena kupeana ujanja wa kukimiliki chumba, wakiwemo waume zetu kwenye uwanja wa kujidai. Malalamiko juu ya kutotosheka kwenye chakula chetu cha usiku nimekuwa nikiyapata kutoka kwa mashoga wengi ambao ni wadau wangu wa safu hii, jambo linalonishangaza zaidi wengi wao wamekuwa wakinitonya kuwa huona aibu kuwaambia waume zao juu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Vunja Bei yamkabidhi Mkuu wa Mkoa Arusha zawadi ya Dinner Set na jiko la Gesi

unnamed (3)

Mkurugenzi wa kampuni ya vunja bei inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya nyumbani Bw.Shija Ulaya Kamanija akimkabidhi zawadi ya dinner set Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh.Felix Ntibenda jana kwa kumpongeza kuchaguliwa kuwa mkuu wa mkoa huo ambapo pia aliwapatia watumishi zawadi ya chupa ya chai na vikombe vya chai kwa kuwapongeza kwa kufanya kazi kwa bidii shughuli hiyo ilifanyika katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa Mkoa huku promosheni hiyo ikiwavutia wakazi wa jiji la Arusha.

unnamed (4)

Mkuu...

 

11 years ago

GPL

BALAA GESTI

Stori: MWANDISHI WETU
DUNIA ina mambo jamani! Mfanyabiashara wa madini aliyefahamika kwa jina moja la Jimmy amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mkewe akiwa na kimada gesti. Tukio hilo lililofunga mtaa kwa kujaza wambea kibao, lilitokea hivi karibuni ndani ya gesti hiyo (jina tunalo) Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mke wa mfanyabiashara huyo (jina halikupatikana mara moja), alimnasa mumewe  akijiandaa...

 

11 years ago

GPL

TIMBWILI GESTI!

TIMBWILI la aina yake lilifumuka ndani ya gesti moja iliyopo Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam (jina kapuni), kufuatia kijana aliyefahamika kwa jina moja la Kelvin kumkuta chumbani mtu aliyedai ni mjomba wake, Joseph akiwa na mkewe wa ndoa, Emiliani. Mjomba wa Kelvin(Joseph) akimsihi Mpwa wake amsamehe mara baada ya kukutwa gesti na mke wa Kelvin. Mkasa huo wa ajabu ulijiri usiku wa Jumamosi iliyopita kwenye gesti hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani