SHOGA: VUNJA UKIMYA IKIWA HUSHIBI CHAKULA CHA USIKU!

SALAMU kwenu mashoga zangu, najua mko gado kama nilivyo mimi, leo ni siku nyingine tumekutana tena kupeana ujanja wa kukimiliki chumba, wakiwemo waume zetu kwenye uwanja wa kujidai. Malalamiko juu ya kutotosheka kwenye chakula chetu cha usiku nimekuwa nikiyapata kutoka kwa mashoga wengi ambao ni wadau wangu wa safu hii, jambo linalonishangaza zaidi wengi wao wamekuwa wakinitonya kuwa huona aibu kuwaambia waume zao juu ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SHOGA: CHAKULA CHA USIKU KINAANDALIWA MAPEMA!
10 years ago
GPL
SHOGA: MUANDAE MUMEO KWA CHAKULA CHA USIKU
10 years ago
Vijimambo
Chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini

10 years ago
GPL
DIAMOND, ZALI WAKIPATA CHAKULA CHA USIKU
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete amwandalia Bwana joe Ricketts Chakula cha Usiku


10 years ago
Vijimambo25 Jul
RAIS OBAMA AKIPATA CHAKULA CHA USIKU NDANI YA ARDHI YA BABA YAKE


State occasion: The family gathering came as Obama made his first visit to Kenya as president

Big meeting: Obama went to the meal in Nairobi at the hotel where he was staying soon after landing in the capital
Some three-dozen people were at the meal sitting round the President at the Villa Rosa Kempinski hotel, where he is...
10 years ago
Dewji Blog04 Feb
JK amuandalia Rais wa Ujerumani dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku, Ikulu jijini Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete(wa pili kutoka kulia) na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck (wa tatu kutoka kulia) wakifurahia wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyomwandalia kiongozi huyo jana usiku, Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mke wa Rais wa Tanzania, mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (wa pili kutoka kulia) akiwa na...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, BALOZI SEIF AWAANDALIA CHAKULA CHA USIKU WATENDAJI WA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE



10 years ago
GPL
RAIS JAKAYA KIKWETE AMUANDALIA RAIS WA UJERUMANI DHIFA YA KITAIFA YA CHAKULA CHA USIKU, IKULU