Rais wa shirikisho la tennis Urusi apigwa faini kwa kuwaita Serena & Venus ‘The Williams brothers’
Rais wa shirikisho la mchezo wa tennis nchini Urusi, Shamil Tarpischev amepigwa faini ya $25,000 kwa kuwaita Serena na Venus Williams “the Williams brothers” kwenye mahojiano ya TV. Tarpischev pia alipigwa marufuku ya mwaka mzima kutojihusisha na ziara ya wanawake hao. Mkurugenzi Mkuu wa chama cha tennis cha wanawake, Stacy Allaster alisema maneno hayo yanadhalilisha […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Ni French Open ya maumivu kwa Serena, Venus Williams
KIVUMBI cha michuano ya French Open, kimeendelea kutimka ambako kwa upande wa wanaume, Tomas Berdych jana alitinga hatua ya robo fainali. Tomas alitinga hatua hiyo kwa ushindi wa 6-4 6-4...
10 years ago
TheCitizen20 Sep
CHAMPIONSHIP: Lawn tennis championships: From Billie Jean King to Serena Williams
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Serena Williams kupumzika kwa mwaka
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Venus Williams amshinda Konta
9 years ago
Bongo502 Oct
Serena Williams atangaza kupumzika kucheza tenesi kwa mwaka mzima
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Serena na Venus kuchuana-Wimbledon.
9 years ago
TheCitizen08 Sep
Serena to meet Venus at US Open
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Apigwa faini kwa kumdhalilisha refa