TCRA yayashushia nyundo makampuni matano ya simu
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa kampuni za simu za mkononi Tanzania kulipa shilingi milioni 25 kwa mamlaka hiyo kama adhabu ya kushindwa kusimamia usalama wa watumiaji wa huduma za Mawasiliano.
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Ally Y. Simba
Hii ni taarifa kamili:
1. Katika shughuli zake za udhibiti wa huduma za mawasiliano nchini, Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania imepokea malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano dhidi ya kuwepo mazingira yasiyo salama...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo524 Feb
Vifurushi vipya vya mitandao: TCRA yatoa tamko na maagizo kwa makampuni ya simu
11 years ago
Ykileo
TUJIKUMBUSHE MATUKIO MAKUBWA MATANO YAKIDUKUZI KATIKA MAKAMPUNI MAARUFU

Huku mataifa mbali mbali yakiendelea kujipanga katika mapambano dhidi ya uhalifu mtandao, bado matukio ya kiuhalifu mtandao yameendelea kuitikisa dunia. Yafuatayo ni matukio matano niliyo chagua kuyajadili siku ya leo.
NEIMAN MARCUS
Mwezi wa pili mwaka huu wa 2014,...
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Makampuni ya Simu za Mkononi Yapigwa Faini ya Sh. Mil 25
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na makampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Airtel, Halotel na Zantel na Smart kwa kuto kukidhi vigezo. Pia amesema kuwa Makampuni hayo yamepigwa faini ya shilingi milioni 25 kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania kabla ya Januari 29 mwakani.
Mwanasheria wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Elizabeth Zagi akifafanua jambo mbele ya waandishi wa...
11 years ago
Bongo516 Oct
Makampuni ya simu Tanzania kuanza kuuza hisa kwa wananchi mwakani
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
TCRA yawataka mafundi simu kujisajili
MAFUNDI simu wameshauriwa kujisajili Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili waweze kufanya kazi zao kwa kufuata sheria na utaratibu uliopo. Wito huo ulitolewa jana na Naibu Mkurugenzi Masuala ya Watumiaji...
10 years ago
Mwananchi28 Sep
TCRA yaamuru kampuni za simu kutenganisha vifurushi
9 years ago
StarTV31 Dec
TCRA yaziadhibu Kampuni Tano za simu za mkononi
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa kampuni za simu za mkononi Tanzania kulipa shilingi milioni 25 kwa mamlaka hiyo kama adhabu ya kushindwa kusimamia usalama wa watumiaji wa huduma za Mawasiliano
Adhabu hiyo imetokana na kampuni hizo za Simu zikiwemo Aitel, Tigo, Zantel, Smart, na Halotel kushindwa kutekeleza agizo la TCRA lililowataka kudhibiti wimbi la wezi wanaotumia mitandao hiyo kuwaibia wateja.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania-TCRA, Dkt. Ally...
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
TCRA yatoa taarifa kuhusu tozo kwenye simu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Mkoma.
taarifa_kwa_UmmaGharama_za_Vifurushi_Feb_2015.pdf by moblog
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
Serikali kuyabana zaidi makampuni ya simu nchini, kutumia kanuni mpya za huduma za ziada za mwaka 2015!!
Na Rabi Hume, Modewjiblog
[TANZANIA] Kasi ya serikali ya awamu ya tano inaonekana kuwa kubwa kwa kuanza kuyabana makampuni ya simu kwa huduma wanazotoa kwa watumiaji wa mitandao hiyo kwa kutumia kanuni mpya za huduma za ziada za mwaka 2015 za sheria ya mawasiliano ya kieletroniki na Posta ya mwaka 2010.
Akizungumzia kanuni hiyo, Msemaji wa...