TUJIKUMBUSHE MATUKIO MAKUBWA MATANO YAKIDUKUZI KATIKA MAKAMPUNI MAARUFU
![](http://4.bp.blogspot.com/-e94r2dYOHVc/VDDpiZE_DLI/AAAAAAAAA88/_l_HVbE_VFo/s72-c/B.jpg)
Tukiwa tupo ndani ya Mwezi wa kuhamasisha uelewa wa matumizi salama ya mitandao, Marufu kama “NATIONAL CYBERSECURITY AWARENESS MONTH” nimeona si vibaya tukajikumbusha matukio muhimu matano ya kiuhalifu mtandao yaliyojiri mwaka huu.
Huku mataifa mbali mbali yakiendelea kujipanga katika mapambano dhidi ya uhalifu mtandao, bado matukio ya kiuhalifu mtandao yameendelea kuitikisa dunia. Yafuatayo ni matukio matano niliyo chagua kuyajadili siku ya leo.
NEIMAN MARCUS
Mwezi wa pili mwaka huu wa 2014,...
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo531 Dec
TCRA yayashushia nyundo makampuni matano ya simu
![CKcRps5WwAAQTbR](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/CKcRps5WwAAQTbR-300x194.jpg)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa kampuni za simu za mkononi Tanzania kulipa shilingi milioni 25 kwa mamlaka hiyo kama adhabu ya kushindwa kusimamia usalama wa watumiaji wa huduma za Mawasiliano.
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Ally Y. Simba
Hii ni taarifa kamili:
1. Katika shughuli zake za udhibiti wa huduma za mawasiliano nchini, Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania imepokea malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano dhidi ya kuwepo mazingira yasiyo salama...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mSmMYCKNhIM/VYWVrwRCqyI/AAAAAAAAe84/Z4onvMmtPI4/s72-c/INDIA%2B282.jpg)
Rais Kikwete akutana na Wakuu wa Makampuni makubwa ya India.
![](http://2.bp.blogspot.com/-mSmMYCKNhIM/VYWVrwRCqyI/AAAAAAAAe84/Z4onvMmtPI4/s640/INDIA%2B282.jpg)
Aliwahimiza kuchangamkia fursa za uwekezaji nchini Tanzania. kushoto kwa Mhe. Rais ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Abdallah Kigoda (Mb) na kulia ni kiongozi wa Chama cha Wafanyabiashara nchini India. Mazungumzo hayo yakifanyika katika Hoteli ya Taj Palace jijini Delhi
![](http://2.bp.blogspot.com/-JBKAyO4EvkY/VYWWBytL11I/AAAAAAAAe9A/WyHA2FKOMFg/s640/INDIA%2B276.jpg)
9 years ago
VijimamboTUJIKUMBUSHE TULIKOTOKA. JOHN BROWN MPIGANAJI KATIKA KUMALIZA UTUMWA, ALIEJULIKANA KATIKA SHAMBULIO LAKE LA HARPER FERRY 1859
![](https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/8/8a/John_Brown_by_Levin_Handy,_1890-1910.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OkhFkN8a5kY/VoY8xML1JJI/AAAAAAAIPqg/CVkMnezlWZA/s72-c/01.jpg)
MATUKIO MAKUBWA YA MUZIKI WA DANSI NCHINI KWA MWAKA 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-OkhFkN8a5kY/VoY8xML1JJI/AAAAAAAIPqg/CVkMnezlWZA/s640/01.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Z0GXViiKLKo/VbPgN2oLLKI/AAAAAAAHr3U/zI-l7iLHUu8/s72-c/unnamed%2B%25284%2529.jpg)
MATUKIO MAKUBWA YA MUZIKI WA DANSI NCHINI KWA NUSU YA KWANZA YA MWAKA 2015
UTANGULIZI (PREAMBLE)•Mwanzoni mwa mwezi wa 7 ndio nusu ya mwaka. Zinakuwa zimepita siku 182 (au 183 kwa mwaka mrefu) na kubaki siku 182.•Yafuatayo ni matukio makubwa ya muziki wa dansi kwa nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-Z0GXViiKLKo/VbPgN2oLLKI/AAAAAAAHr3U/zI-l7iLHUu8/s640/unnamed%2B%25284%2529.jpg)
BENDI MPYA•Tarehe 31-Jan-2015, BMM Classic Band, ilizinduliwa katika ukumbi wa BMM Mwenge, opposite TRA.•Tarehe 21-Feb-2015, JJ Band yazinduliwa katika ukumbi wa. JJ Band ni bendi dada ya Skylight Band itakayokuwa inatumbuiza mjini Mwanza katika hotel...
5 years ago
BBCSwahili16 Jun
Uchaguzi wa Tanzania 2020: Matukio matano ambayo yalitawala bunge la Tanzania 2015-2020
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-whFa7mAISpQ/VKWfhA3BjVI/AAAAAAAG65Q/s6xRNCG3kIw/s72-c/download%2B(1).jpg)
TATHMINI YA PAPA KAIJAGE KUHUSU MATUKIO MAKUBWA YA MUZIKI WA DANSI KWA MWAKA 2014…
![](http://4.bp.blogspot.com/-whFa7mAISpQ/VKWfhA3BjVI/AAAAAAAG65Q/s6xRNCG3kIw/s1600/download%2B(1).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-xhiDfQNuPo4/VKWfhd_6fhI/AAAAAAAG65U/9jxd7Y29cqI/s1600/download%2B(2).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-7YnxAVhSlps/VKWfhtmUnzI/AAAAAAAG65Y/3zCw_-o6a7A/s1600/download%2B(3).jpg)