TCRA yawataka mafundi simu kujisajili
MAFUNDI simu wameshauriwa kujisajili Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili waweze kufanya kazi zao kwa kufuata sheria na utaratibu uliopo. Wito huo ulitolewa jana na Naibu Mkurugenzi Masuala ya Watumiaji...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
MKURABITA yawataka wajasiriamali kujisajili
MPANGO wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara Tanzania (MKURABITA) umewataka wajasiriamali wadogo kusajili biashara zao na kupata mafunzo sahihi ili kufikia malengo yao. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
5 years ago
MichuziMAFUNDI SIMU KIZIMBANI KWA KUJIHUSISHA NA SIMU ZILIZOFUNGWA
Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao leo Machi 11, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustina Mmbando.
Akisoma hati ya mashtaka wakili wa Serikali Easter Martin amedai Februari 27, mwaka huu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rnuabDm3ceA/XvN9wbN4KmI/AAAAAAALvSQ/g-eJY-YnUsMvgAHCWNUcIppG6YIsz7pIwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-48.jpg)
Serikali yawataka Wasanii wa Sanaa ya Uchoraji nchini kujisajili COSOTA
![](https://1.bp.blogspot.com/-rnuabDm3ceA/XvN9wbN4KmI/AAAAAAALvSQ/g-eJY-YnUsMvgAHCWNUcIppG6YIsz7pIwCLcBGAsYHQ/s640/1-48.jpg)
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) akisisitiza jambo kwa wasanii wa Sanaa ya uchoraji maarufu Tingatinga (hawapo pichani) wakati alipowatembelea kuona shughuli zao na kusikiliza changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo mapema hii leo 24 Juni 2020 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mtendaji wa...
10 years ago
GPLTCRA YAWATAKA WAMILIKI BLOGS KUZITUMIA VIZURI WAKATI WA UCHAGUZI
10 years ago
MichuziPosta na Simu Saccoss yawataka wanachama kuchukua viwanja
Mwenyekiti wa Posta na Simu SACCOS, Bw. Lawrence Mwasikili (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanza kuuzwa kwa viwanja 1,500 vilivyoko Msata, wilaya ya Bagamoyo kwa wanachama wake. Walioambatana naye katika mkutano huo wa waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Ushirika huo, Bw. Deogratias Ngalawa (kushoto) na Afisa Tawala, Bw. Jeremiah Miselya.
9 years ago
Mwananchi28 Sep
TCRA yaamuru kampuni za simu kutenganisha vifurushi
9 years ago
StarTV31 Dec
TCRA yaziadhibu Kampuni Tano za simu za mkononi
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa kampuni za simu za mkononi Tanzania kulipa shilingi milioni 25 kwa mamlaka hiyo kama adhabu ya kushindwa kusimamia usalama wa watumiaji wa huduma za Mawasiliano
Adhabu hiyo imetokana na kampuni hizo za Simu zikiwemo Aitel, Tigo, Zantel, Smart, na Halotel kushindwa kutekeleza agizo la TCRA lililowataka kudhibiti wimbi la wezi wanaotumia mitandao hiyo kuwaibia wateja.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania-TCRA, Dkt. Ally...
9 years ago
Bongo531 Dec
TCRA yayashushia nyundo makampuni matano ya simu
![CKcRps5WwAAQTbR](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/CKcRps5WwAAQTbR-300x194.jpg)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa kampuni za simu za mkononi Tanzania kulipa shilingi milioni 25 kwa mamlaka hiyo kama adhabu ya kushindwa kusimamia usalama wa watumiaji wa huduma za Mawasiliano.
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Ally Y. Simba
Hii ni taarifa kamili:
1. Katika shughuli zake za udhibiti wa huduma za mawasiliano nchini, Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania imepokea malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano dhidi ya kuwepo mazingira yasiyo salama...
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
TCRA yatoa taarifa kuhusu tozo kwenye simu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Mkoma.
taarifa_kwa_UmmaGharama_za_Vifurushi_Feb_2015.pdf by moblog