Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA YAWATAKA WAMILIKI BLOGS KUZITUMIA VIZURI WAKATI WA UCHAGUZI

Mkurugezi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa, John Nkoma akizungumza na  Bloggers (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa leo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TCRA yakutana na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania leo

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Prof. John Nkoma akitoa hotuba yake wakati wa ufungumzi wa Mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania wenye lengo la kutoa mafunzo ya namna ya kutoa taarifa mbali mbali wakati wa Chaguzi mbali mbali hapa nchini,uliofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam.Picha zote na Othman Michuzi.Inginia Andrew Kisaka akitoa Mada katika  Mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano...

 

10 years ago

Vijimambo

WAMILIKI WA BLOGS NCHINI WAPIGWA MSASA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwahutubia wamiliki mbalimbali wa Blogs za Tanzania kuhusu Mwongozo uliotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuelekea katika Uchaguzi Mkuu hapo mwakani katika mkutano na wamiliki hao leo 11 Oktoba, 2014 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.Mhandisi Mkuu wa masuala ya Utangazaji toka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Andrew Kisaka akichangia mada kuhusu Mwongozo...

 

10 years ago

Dewji Blog

TCRA izimulike blogs ‘Uchwara’ na kuzichukulia hatua kali

11039142_10200327749914253_7953568182828634952_n

“Screen shot” ikionyesha moja ya habari zilizorushwa kwenye moja ya blog uchwara kuhusiana na taarifa za uzushi wa kifo cha mchungaji Gwajima.

…Ni zile zinazoandika habari za uongo, matusi

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Miongoni mwa mambo ambayo Tanzania tunapitia kwa sasa ni pamoja na teknolojia  mbalimbali ikiwemo mawasiliano ya simu, intaneti  vyombo vya habari na mengine mengi,  Lakini mawasiliano hayo kwa sasa ikiwemo Intaneti wapo wanayoyatumia vibaya.

Kupitia  BLOG, mtandao ambao...

 

10 years ago

Vijimambo

TAHARIRI: TCRA IZIMULIKE BLOGS ‘UCHWARA’ NA KUZICHUKULIA HATUA KALI

Ni zile zinazoandika habari za uongo, matusi11039142_10200327749914253_7953568182828634952_n"Screen shot" ikionyesha moja ya habari zilizorushwa kwenye moja ya blog uchwara kuhusiana na taarifa za uzushi wa kifo cha mchungaji Gwajima.1Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma.

Na Andrew Chale wa Modewji blogMiongoni mwa mambo ambayo Tanzania tunapitia kwa sasa ni pamoja na teknolojia mbalimbali ikiwemo mawasiliano ya simu, intaneti vyombo vya habari na mengine mengi, Lakini mawasiliano hayo kwa sasa...

 

10 years ago

GPL

TAHARIRI: TCRA IZIMULIKE BLOGS ‘UCHWARA’ NA KUZICHUKULIA HATUA KALI‏

"Screen shot" ikionyesha moja ya habari zilizorushwa kwenye moja ya blog uchwara kuhusiana na taarifa za uzushi wa kifo cha mchungaji Gwajima. …Ni zile zinazoandika habari za uongo, matusi Na Andrew Chale wa Modewji blog Miongoni mwa mambo ambayo Tanzania tunapitia kwa sasa ni pamoja na teknolojia mbalimbali ikiwemo mawasiliano ya simu, intaneti vyombo vya habari na mengine mengi, Lakini mawasiliano hayo kwa sasa ikiwemo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali na jumuiya za kiraia zijiandae kujenga miundo mbinu kuzitumia vizuri rasilmali za nchi Balozi Seif Idd

036

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mkewe Mama Pili Juma Iddi (kulia) wakitabasamu pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Chande Othman kwenye tafrija maalum kwenye Hoteli ya Mount Meru baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Chama cha Majaji Wanawake uliofanyika Mkoani Arusha.

038

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji Wanawake wa Philippines  Jaji Teresita Leonardo – De Castro kushoto yake pamoja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCRA yawataka mafundi simu kujisajili

MAFUNDI simu wameshauriwa kujisajili Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili waweze kufanya kazi zao kwa kufuata sheria na utaratibu uliopo. Wito huo ulitolewa jana na Naibu Mkurugenzi Masuala ya Watumiaji...

 

10 years ago

Vijimambo

WIZARA YAWATAKA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUWAKATIA BIMA WAFANYAKAZI WAO

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia akijibu swali Bungeni mjini Dodoma.Na Lorietha Laurence-Maelezo Dodoma.

Naibu Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amewataka wamiliki wa vyombo vya habari kuwakatia wafanyakazi wao bima ili ziweze kuwasaidia wakati wanapopatwa na madhara wakiza kazini.

Akijibu swali la mbunge wa viti maalum Anna Mallac, kuhusu mpango wa Serikali kuwapatia ulinzi waandishi pale wanapokuwa wakifanya kazi katika matukio...

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa ya TCRA kwa wamiliki wa blogu Tanzania

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY
ISO 9001:2008 CERTIFIED

TAARIFA KWA UMMA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA INAPENDA KUWATANGAZIA WAMILIKI WOTE WA MITANDAO YA KIJAMII “BLOGERS” KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO TAREHE 11.11.2014 KUANZIA SAA TATU ASUBUHI UKUMBI WA MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM.

MKUTANO HUO UTAJADILI MATUMIZI YA BLOGS KIPINDI CHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WABUNGE NA RAIS KAMA ILIVYOAINISWA KWENYE RASIMU YA MWONGOZO WA MAUDHUI KWA AJILI YA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani