WAMILIKI WA BLOGS NCHINI WAPIGWA MSASA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwahutubia wamiliki mbalimbali wa Blogs za Tanzania kuhusu Mwongozo uliotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuelekea katika Uchaguzi Mkuu hapo mwakani katika mkutano na wamiliki hao leo 11 Oktoba, 2014 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mhandisi Mkuu wa masuala ya Utangazaji toka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Andrew Kisaka akichangia mada kuhusu Mwongozo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UR9-piQpLoM/VD-u4NSGIaI/AAAAAAAGq5I/R4hSDWvxYfY/s72-c/MMGM1316.jpg)
WANAHABARI NCHINI WAPIGWA MSASA
![](http://4.bp.blogspot.com/-UR9-piQpLoM/VD-u4NSGIaI/AAAAAAAGq5I/R4hSDWvxYfY/s1600/MMGM1316.jpg)
5 years ago
MichuziWANACHAMA WA SHIRIKA LA FORUMCC KUTOKA MBALIMBALI NCHINI WAPIGWA MSASA KUHUSU UTUMIAJI WA NISHATI MBADALA KATIKA KILIMO
Moja ya watalaam wa masuala ya kilimo biashara akielezea namna bora ya upandaji mgomba wakati wanachama wa FORUMCC walipokuwa kwenye ziara ya kimafunzo kutembelea katika moja ya shamba lililoko Chuo Kikuu cha Kilimo(SUA).
Baadhi ya wanachama wa FORUMCC ambao wako kwenye kwenye ziara ya kimafunzo mkoani Morogoro kujifunza namna ambavyo nishati jadidifu inavyoweza kutumika katika shughuli za kilimo kama njia mojawapo ya kukabilina na athari za mabadiliko ya tabianchi.Ziara hiyo ya kimafunzo...
9 years ago
VijimamboTGDC, TANESCO, WIZARA YA NISHATI NA MADINI WAPIGWA MSASA KUHUSU MIFUMO MBALIMBALI YA BIASHARA KWA SOKO LA JOTOARDHI NCHINI.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QJAYgEpGXYU/VGHUUZXzjEI/AAAAAAAGwhc/bK0Q5pm2rgI/s72-c/2.jpg)
TCRA yakutana na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-QJAYgEpGXYU/VGHUUZXzjEI/AAAAAAAGwhc/bK0Q5pm2rgI/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vVm9g08jGEo/VGHT_GrhAlI/AAAAAAAGwgM/DhCwzztWMVM/s1600/10.jpg)
10 years ago
GPLTCRA YAWATAKA WAMILIKI BLOGS KUZITUMIA VIZURI WAKATI WA UCHAGUZI
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Maofisa takwimu wapigwa msasa
MAOFISA 50 kutoka idara za takwimu katika wizara, taasisi na vyuo vikuu vya serikali wanakutana jijini Arusha kupata mafunzo ya jinsi ya kuchambua takwimu za sensa ya watu na makazi...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Ma-RC, DC wapigwa msasa sera ya madini
WIZARA ya Nishati na Madini imefaya mkutano wake wa kwanza uliowashirikisha wakuu wa mikoa, wilaya na taasisi za dini, ili kukumbushana na kujenga uwezo katika kujua sera ya madini ya...
11 years ago
Dewji Blog05 May
Wanawake Vodacom wapigwa msasa
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wakati wa kongamano la kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo, lililofanyika katika Makao makuu ya Kampuni hiyo. Mkurugenzi huyo ametoa wito kwa jamii ya Watanzania kuendelea kuthamini mchango wa Mwanamke wa Kitanzania ndani ya jamii.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akisikiliza swali kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Wadau wa sanaa wapigwa msasa VVU
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), kupitia programu yake ya kila wiki ya Jukwaa la Sanaa, limetoa elimu kwa wasanii pamoja na wadau wa sanaa kuhusu virusi vinavyosababisha ukimwi (VVU)...