Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANACHAMA WA SHIRIKA LA FORUMCC KUTOKA MBALIMBALI NCHINI WAPIGWA MSASA KUHUSU UTUMIAJI WA NISHATI MBADALA KATIKA KILIMO


Moja ya watalaam wa masuala ya kilimo biashara akielezea namna bora ya upandaji mgomba wakati wanachama wa FORUMCC walipokuwa kwenye ziara ya kimafunzo kutembelea katika moja ya shamba lililoko Chuo Kikuu cha Kilimo(SUA).
Baadhi ya wanachama wa FORUMCC ambao wako kwenye kwenye ziara ya kimafunzo mkoani Morogoro kujifunza namna ambavyo nishati jadidifu inavyoweza kutumika katika shughuli za kilimo kama njia mojawapo ya kukabilina na athari za mabadiliko ya tabianchi.Ziara hiyo ya kimafunzo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TGDC, TANESCO, WIZARA YA NISHATI NA MADINI WAPIGWA MSASA KUHUSU MIFUMO MBALIMBALI YA BIASHARA KWA SOKO LA JOTOARDHI NCHINI.

Naibu Kiongozi wa Timu ya Shirika linanoshughulikia masuala ya Jotoardhi Afrika Mashariki (EAGER) Bw. John Heath akiwaelimisha wadau mbalimbali wa Kampuni inashughulikia Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wadau wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu Mifumo mbalimbali ya biashara kwa soko la Jotoardhi. Warsha inayofanyika tarehe 2-4 Septemba, 2015 jijini Dar es Salaam.Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji wa Nishati ya...

 

11 years ago

Michuzi

WANAHABARI NCHINI WAPIGWA MSASA

 Mhariri wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini,Bw. Richard Mbamba ambaye ni mmoja kati wanahabari waliowahi kushinda tuzo za "CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2008" akisisitiza jambo wakati wa Semina ya simu moja kwa wanahabari wa Tanzania juu ya namna wanavyopaswa kufanya kazi zao,iliyofanyika leo katika Hoteli ya New Afrika,jijini Dar es Salaam.Semina hiyo imekuja ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika wa shughuli ya utoaji tuzo hizo za "CNN MultiChoice African Journalist of the...

 

5 years ago

Michuzi

MAENDELEO, USTAWI WA JAMII WAPIGWA MSASA KUHUSU CORONA


Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akizungumza na maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii kutoka katika Kata za mkoa wa Dar es Salaam wakati akifungua mafunzo kwa wataalam hao juu ya mapambano dhidi ya Virusi vya Corona nchini.



Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Naftali Ng’ondi akieleza jambo kwa maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jmaii kutoka katika Kata za mkoa wa Dra es Salaam wakati ufunguzi wa mafunzo kwa wataalam hao juu ya mapambano dhidi ya Virusi...

 

10 years ago

Vijimambo

WAMILIKI WA BLOGS NCHINI WAPIGWA MSASA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwahutubia wamiliki mbalimbali wa Blogs za Tanzania kuhusu Mwongozo uliotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuelekea katika Uchaguzi Mkuu hapo mwakani katika mkutano na wamiliki hao leo 11 Oktoba, 2014 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.Mhandisi Mkuu wa masuala ya Utangazaji toka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Andrew Kisaka akichangia mada kuhusu Mwongozo...

 

5 years ago

CCM Blog

MAENDELEO, USTAWI WA JAMII DAR WAPIGWA MSASA KUHUSU CORONA

 Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akizungumza na maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii kutoka katika Kata za mkoa wa Dar es Salaam wakati wa ufungunguzi wa mafunzo kwa wataalam hao juu ya mapambano dhidi ya Virusi vya Corona nchini Machi 28, 2020.(Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW)
 Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Naftali Ng’ondi akizungumza jambo kwa maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jmaii kutoka katika Kata za mkoa wa Dar es...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wanahabari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge

PIX 2.

Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams Conference mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.

Na Magreth Kinabo, Maelezo.

WAANDISHI wa habari nchini wameaaswa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani