WANAHABARI NCHINI WAPIGWA MSASA
![](http://4.bp.blogspot.com/-UR9-piQpLoM/VD-u4NSGIaI/AAAAAAAGq5I/R4hSDWvxYfY/s72-c/MMGM1316.jpg)
Mhariri wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini,Bw. Richard Mbamba ambaye ni mmoja kati wanahabari waliowahi kushinda tuzo za "CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2008" akisisitiza jambo wakati wa Semina ya simu moja kwa wanahabari wa Tanzania juu ya namna wanavyopaswa kufanya kazi zao,iliyofanyika leo katika Hoteli ya New Afrika,jijini Dar es Salaam.Semina hiyo imekuja ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika wa shughuli ya utoaji tuzo hizo za "CNN MultiChoice African Journalist of the...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Wanahabari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams Conference mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.
Na Magreth Kinabo, Maelezo.
WAANDISHI wa habari nchini wameaaswa...
10 years ago
VijimamboWAMILIKI WA BLOGS NCHINI WAPIGWA MSASA
5 years ago
MichuziWANACHAMA WA SHIRIKA LA FORUMCC KUTOKA MBALIMBALI NCHINI WAPIGWA MSASA KUHUSU UTUMIAJI WA NISHATI MBADALA KATIKA KILIMO
Moja ya watalaam wa masuala ya kilimo biashara akielezea namna bora ya upandaji mgomba wakati wanachama wa FORUMCC walipokuwa kwenye ziara ya kimafunzo kutembelea katika moja ya shamba lililoko Chuo Kikuu cha Kilimo(SUA).
Baadhi ya wanachama wa FORUMCC ambao wako kwenye kwenye ziara ya kimafunzo mkoani Morogoro kujifunza namna ambavyo nishati jadidifu inavyoweza kutumika katika shughuli za kilimo kama njia mojawapo ya kukabilina na athari za mabadiliko ya tabianchi.Ziara hiyo ya kimafunzo...
9 years ago
VijimamboTGDC, TANESCO, WIZARA YA NISHATI NA MADINI WAPIGWA MSASA KUHUSU MIFUMO MBALIMBALI YA BIASHARA KWA SOKO LA JOTOARDHI NCHINI.
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Maofisa takwimu wapigwa msasa
MAOFISA 50 kutoka idara za takwimu katika wizara, taasisi na vyuo vikuu vya serikali wanakutana jijini Arusha kupata mafunzo ya jinsi ya kuchambua takwimu za sensa ya watu na makazi...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Ma-RC, DC wapigwa msasa sera ya madini
WIZARA ya Nishati na Madini imefaya mkutano wake wa kwanza uliowashirikisha wakuu wa mikoa, wilaya na taasisi za dini, ili kukumbushana na kujenga uwezo katika kujua sera ya madini ya...
11 years ago
Dewji Blog05 May
Wanawake Vodacom wapigwa msasa
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wakati wa kongamano la kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo, lililofanyika katika Makao makuu ya Kampuni hiyo. Mkurugenzi huyo ametoa wito kwa jamii ya Watanzania kuendelea kuthamini mchango wa Mwanamke wa Kitanzania ndani ya jamii.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akisikiliza swali kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya...
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
Wafugaji nyuki Sikonge wapigwa msasa
SERIKALI Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora imesema itaendelea kuboresha na kuongeza thamani ya zao la Nyuki huku ikiagiza kila kaya kuwa na mizinga miwili ili kujiongezea kipato. Hayo yalisemwa na...