Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI

Baadhi ya waandihi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wanaoshirki mafunzo ya Internet kwa waandishi wa habari wa mikoani yanayotolewa na MISA Tanzania kwa kushirikiana na VIKES.Mratibu wa Mafunzo ya Internet ,Andrew Marawiti akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa mafunzo hayo.Mmoja wa wakufunzi katika mafunzo hayo Seif Jigge akitoa maelezo kwa wanahabri wanaohudhuria mafunzo ya Internet  yanayofanyika katika Chuo cha Ufundi VETA mkoa wa KilimanjaroBOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wanahabari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge

PIX 2.

Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams Conference mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.

Na Magreth Kinabo, Maelezo.

WAANDISHI wa habari nchini wameaaswa...

 

10 years ago

Michuzi

Waandishi wa habari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge

Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams Conference mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.Mhariri Mtendaji Jamhuri Media Limited, Bw. Deodatus Balile akitoa mada...

 

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI NCHINI WAPIGWA MSASA

 Mhariri wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini,Bw. Richard Mbamba ambaye ni mmoja kati wanahabari waliowahi kushinda tuzo za "CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2008" akisisitiza jambo wakati wa Semina ya simu moja kwa wanahabari wa Tanzania juu ya namna wanavyopaswa kufanya kazi zao,iliyofanyika leo katika Hoteli ya New Afrika,jijini Dar es Salaam.Semina hiyo imekuja ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika wa shughuli ya utoaji tuzo hizo za "CNN MultiChoice African Journalist of the...

 

10 years ago

Dewji Blog

Weledi na kuzingatia maadili ya uandishi wa shughuli za Bunge Maalum la Katiba kutaleta tija kwa waandishi wa habari

PIX 1.

Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la Kimataifa la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

Kanuni za Bunge Maalum hususani...

 

10 years ago

Michuzi

WELEDI NA KUZINGATIA MAADILI YA UANDISHI WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALU LA KATIBA KUTALETA TIJA KWA WAANDISHI WA HABARI


Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

Kanuni za Bunge Maalum hususani Kanuni ya 77 inawataka waandishi wa habari kuandika habari za Bunge Maalum kwa weledi mkubwa na kuzingatia maadili ya uandishi wa habari ili kujiepusha na uandishi wenye utashi na ushabiki wa kisiasa, msukumo binafsi, chuki ama uchochezi na wakati mwingine uongo wa makusudi.
Aidha, katika Kanuni hiyo hiyo ya 77(3) inatamka bayana ya kuwa “Katibu anaweza wakati wowote kuondoa ruhusa aliyotoa kwa mwakilishi wa Chombo chochote...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la Habari la Marekani la Inernews laendesha mafunzo ya siku tano kwa wanahabari Visiwani Zanzibar juu ya kuripoti habari za uchaguzi mkuu

DSC_0159 Mhadhiri wa Sheria, Kitivo cha Sheria Zanzibar University, Ali Uki akionyesha kitabu cha Sheria cha Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kitabu  cha Sheria cha Tanzania na cha Zanzibar  ambavyo  vinawapasa waandishi wa habari kuvisoma na kuzitumia sheria  hizo katika kuandika habari za Uchaguzi Mkuu kwa usahihi.

DSC_0149

 Mkufunzi  na Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Zanzibar Salim Said Salim akitoa  mada katika mafunzo  ya  siku tano  juu ya kuandika Habari za Uchaguzi Mkuu yaliyoandaliwa na...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KATA NA MITAA WA MANISPAA YA DODOMA WAPIGWA MSASA JUU YA USIMAMIZI UENDELEZAJI WA MJI HUO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifungua warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma kwa viongozi wa kata na mitaa wa Manispaa ya Dodoma iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Morena Mjini Dodoma. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA Ndg. Paskasi Muragili akitoa maelezo ya ufafanuzi juu ya warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma kwa viongozi wa kata na mitaa wa Manispaa ya Dodoma iliyofanyika leo kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani