VIONGOZI WA KATA NA MITAA WA MANISPAA YA DODOMA WAPIGWA MSASA JUU YA USIMAMIZI UENDELEZAJI WA MJI HUO
![](http://2.bp.blogspot.com/-jRpUOveKFs8/VcuqFT28fII/AAAAAAAHwQ8/mI3UiBxHN58/s72-c/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifungua warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma kwa viongozi wa kata na mitaa wa Manispaa ya Dodoma iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA Ndg. Paskasi Muragili akitoa maelezo ya ufafanuzi juu ya warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma kwa viongozi wa kata na mitaa wa Manispaa ya Dodoma iliyofanyika leo kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziVIONGOZI WA WAFANYAKAZI JIJINI MWANZA WAPIGWA MSASA
11 years ago
MichuziWANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI
10 years ago
Dewji Blog31 Aug
Wajumbe wa Bunge Maalum wapigwa msasa masuala ya kijinsia mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Anna Abdallah akifungua Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika jana 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Katibu wa Umoja wa Wanawake Wabunge Tanzania (TWPG), Mhe. Angellah Kairuki (MB) akizungumzia masuala mbalimbali ya kijinsia katika Semina iliyoandaliwa na Umoja huo...
5 years ago
CCM BlogVIONGOZI, WATENDAJI WILAYANI UBUNGO WANOLEWA KUWAONGEZEA UWEZO KATIKA USIMAMIZI NA UENEDESHAJI SERIKALI ZA MITAA
Na Bashir Nkoromo, Ubungo
Wenyeviti na Watendaji wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa Kata...
10 years ago
CloudsFM14 Aug
TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA
Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.
10 years ago
GPLDIWANI WA KATA YA VIJIBWENI (CCM), ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
10 years ago
GPLDIWANI WA KATA YA VIJIBWENI ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Ma-RC, DC wapigwa msasa sera ya madini
WIZARA ya Nishati na Madini imefaya mkutano wake wa kwanza uliowashirikisha wakuu wa mikoa, wilaya na taasisi za dini, ili kukumbushana na kujenga uwezo katika kujua sera ya madini ya...