Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe wa Bunge Maalum wapigwa msasa masuala ya kijinsia mjini Dodoma

PIX 1

Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Anna Abdallah akifungua Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika jana 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.

PIX 2

Katibu wa Umoja wa Wanawake Wabunge Tanzania (TWPG), Mhe. Angellah Kairuki (MB) akizungumzia masuala mbalimbali ya kijinsia katika Semina iliyoandaliwa na Umoja huo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.  Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...

 

11 years ago

Michuzi

wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakutana mjini Dodoma

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Suzan Lyimo(kulia) wakibadlishana mawazo  mjini Dodoma wakati wa semina kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.  Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa kwa wajumbe...

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGENI: WAZIRI MKUU AKIWA NA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014. Kulia ni mbunge wa Sumve Richard Ndassa. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Singida Magharibi Mohamed Bissanga na...

 

11 years ago

Michuzi

TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.

Na Tiganya Vincent-Dodoma   Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Abdallah ametoa wito kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kufanya kazi kwa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa wanaweka maslahi ya mwanamke mbele katika uandishi wa Katiba mpya na sio vinginevyo.   Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati anafungua semina ya siku moja ya wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA WAMTEMBELEA MKUU WA MKOA DODOMA OFISINI KWAKE KUZUNGUMZIA MASUALA YA USHIRIKIANO NA MAENDELEO

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akiwa amepokea zawadi yenye heshima kwa asili ya watu wa korea kutoka kwa mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje ya bunge la Jamhuri ya Korea Mr. AHN Hong  Joon (kushoto) kiongozi huyo na ujumbe kutoka Bunge la Korea na shirika la kimataifa la misaada la Korea-KOICA katikati ya wiki  walimtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ofisini kwake kuzungumzia masuala ya mashirikiano na maendeleo.  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (kulia) akielezea fursa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani