Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake Vodacom wapigwa msasa

003 NBC

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wakati wa kongamano la kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo, lililofanyika katika Makao makuu ya Kampuni hiyo. Mkurugenzi huyo ametoa wito kwa jamii ya Watanzania kuendelea  kuthamini mchango wa Mwanamke wa Kitanzania ndani ya jamii.

004 NBC

002 NBC

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akisikiliza swali kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wakandarasi wanawake wapigwa msasa ujenzi wa barabara


 Mkufunzi wa chuo cha Teknolojia stahiki ya nguvu kazi ATTI  mbeya Richard Kansimba  akiwafundisha kwa vitendo wanawake waliokuwa kwenye mafunzo ya ujenzi na ukarabati wa barabara yaliyofanyika mkoani Morogoro namna ya kufanya vipimo vya barabara na kuweka usawa ili kuepukana na matuta yasiyo yalazima barabarani. Washiriki wa mafunzo ya ujenzi na ukarabati wa barabara wakijifunza namna ya kutumia kipimo cha mkanda (Tap Measure) kupima usawa wa barabara wakiwa katika eneo la chuo cha ujenzi...

 

9 years ago

Michuzi

MAWAKALA WA VODACOM TANZANIA WAPIGWA MSASA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA

 Mkuu wa Kitengo cha M-Pesa wa Vodacom Tanzania, George Kagaruki akitoa mafunzo kwa Mawakala wa M-Pesa wa kanda ya Mbagala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wakati wa Semina iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa na kuboresha huduma  za kifedha, kuepukana na  udanganyifu wa kifedha na jinsi ya  kupata faida zaidi kwa kuuza Vodafasta (muda wa hewani) na kuunganisha wateja wa kampuni hiyo kwa kutumia huduma ya M-Pawa.
 Wakufunzi wa Semina ya...

 

11 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA NBC BENKI AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA VODACOM

Ofisa Mkuu wa Idara ya Sheria na Udhibiti, wa Vodacom Tanzania, Akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano wa Vodacom wakati walipofanya kongamano na Mkurugenzi wa Benki ya NBC Mizinga Melu, ikiwa ni sehemu ya kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo. Kongamano hilo lilifanyika katika makao makuu ya kampuni Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akisikiliza swali kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya Mawasiliano ya...

 

11 years ago

GPL

MKURUGENZI WA NBC BENKI AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA VODACOM‏

Ofisa Mkuu wa Idara ya Sheria na Udhibiti wa Vodacom Tanzania, Akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano wa Vodacom wakati walipofanya kongamano na Mkurugenzi wa Benki ya NBC Mizinga Melu, ikiwa ni sehemu ya kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo. Kongamano hilo lilifanyika katika makao makuu ya kampuni Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ma-RC, DC wapigwa msasa sera ya madini

WIZARA ya Nishati na Madini imefaya mkutano wake wa kwanza uliowashirikisha wakuu wa mikoa, wilaya na taasisi za dini, ili kukumbushana na kujenga uwezo katika kujua sera ya madini ya...

 

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI NCHINI WAPIGWA MSASA

 Mhariri wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini,Bw. Richard Mbamba ambaye ni mmoja kati wanahabari waliowahi kushinda tuzo za "CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2008" akisisitiza jambo wakati wa Semina ya simu moja kwa wanahabari wa Tanzania juu ya namna wanavyopaswa kufanya kazi zao,iliyofanyika leo katika Hoteli ya New Afrika,jijini Dar es Salaam.Semina hiyo imekuja ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika wa shughuli ya utoaji tuzo hizo za "CNN MultiChoice African Journalist of the...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maofisa takwimu wapigwa msasa

MAOFISA 50 kutoka idara za takwimu katika wizara, taasisi na vyuo vikuu vya serikali wanakutana jijini Arusha kupata mafunzo ya jinsi ya kuchambua takwimu za sensa ya watu na makazi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji nyuki Sikonge wapigwa msasa

SERIKALI Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora imesema itaendelea kuboresha na kuongeza thamani ya zao la Nyuki huku ikiagiza kila kaya kuwa na mizinga miwili ili kujiongezea kipato. Hayo yalisemwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wa mafuta na gesi ‘wapigwa msasa’

KAMPUNI ya MDT kwa kushirikiana na Calderberg International Enegy Corporation imeandaa kozi maalumu kuhusiana na gesi na mafuta nchini kwa ajili ya wadau wa sekta hiyo. Akizungumza na waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani