Posta na Simu Saccoss yawataka wanachama kuchukua viwanja
Mwenyekiti wa Posta na Simu SACCOS, Bw. Lawrence Mwasikili (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanza kuuzwa kwa viwanja 1,500 vilivyoko Msata, wilaya ya Bagamoyo kwa wanachama wake. Walioambatana naye katika mkutano huo wa waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Ushirika huo, Bw. Deogratias Ngalawa (kushoto) na Afisa Tawala, Bw. Jeremiah Miselya. Afisa Mkuu Mtendaji wa Posta na Simu SACCOS, Bw. Deogratias...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTANGA UWASA YAWATAKA WATEJA KUCHUKUA TAHADHARI WAKATI WA KUPATA HUDUMA KWA KUEPUKA MIRUNDIKANO
Amesema tahadhari hiyo wameichukua ikiwa ni hatua mojawapo kuunga mkono juhudi serikali kuzuia kuingia nchini ugonjwa huo kwa kutoa elimu kwa njia ya jumbe mbalimbali katika maeneo ya ofisi zao,hususani...
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
TCRA yawataka mafundi simu kujisajili
MAFUNDI simu wameshauriwa kujisajili Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili waweze kufanya kazi zao kwa kufuata sheria na utaratibu uliopo. Wito huo ulitolewa jana na Naibu Mkurugenzi Masuala ya Watumiaji...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi0hQzJTISHnKE1gK456NEaprO4kBOvxwfZLASFXmmEBh0wlNRC-rcNqvqM9eh-ouraI7w7QEr9MxKmZd3cllZiw/1.jpg?width=650)
TAMASHA LA NAYAMA CHOMA KATIKA VIWANJA VYA POSTA-KIJITONYAMA
5 years ago
MichuziBODI YA MAJI BONDE LA KATI YAWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI KUFUATIA MAFURIKO KWENYE MAZIWA YA KINDAI, MUNANG NA SINGIDANI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2gmXdC3U0uk/U4hu0GHrCII/AAAAAAAFme0/BAZTBfKFv-s/s72-c/si1.jpg)
benki ya posta YAZINDUA KADI ZA AKAUNTI KWA WANACHAMA NA MASHABIKI wa SIMBA NA YANGA
![](http://1.bp.blogspot.com/-2gmXdC3U0uk/U4hu0GHrCII/AAAAAAAFme0/BAZTBfKFv-s/s1600/si1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ud_kIEDbWPw/U4hu0fRzQLI/AAAAAAAFme4/MUL5cqpBRZo/s1600/si2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog14 Dec
Tigo yadhamini maonesho ya Tehema kwa vijana, Viwanja vya Posta
Ofisa kutoka mradi wa Data Huru ulio chini ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Daudi Fufuji akitoa maelekezo kuhusiana na namna ambavyo mradi huo unafanya kazi, maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.
Wadau kutoka Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani, Goethe Institute wakiwa kwenye maonesho hayo.
Baadhi ya mabanda ambayo wadau mbalimbali wa masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) walihudhuria.
Wanafunzi wa Chuo cha A3 Institute wakionesha...
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya Corona: Serikali yawataka Watanzania kuiamini serikali na kuchukua tahadhari
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-2tKS7ryZ_IM/U3e1c2nnK_I/AAAAAAAAF7c/hNdQtsxDa_Q/s1600/IMG_20140517_210243.jpg)
WANAFUNZI WA SJMC UDSM WAPATA NAFASI YA KUONESHA VIPAJI VYAO VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA