Serikali yawataka Wasanii wa Sanaa ya Uchoraji nchini kujisajili COSOTA
![](https://1.bp.blogspot.com/-rnuabDm3ceA/XvN9wbN4KmI/AAAAAAALvSQ/g-eJY-YnUsMvgAHCWNUcIppG6YIsz7pIwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-48.jpg)
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) akisisitiza jambo kwa wasanii wa Sanaa ya uchoraji maarufu Tingatinga (hawapo pichani) wakati alipowatembelea kuona shughuli zao na kusikiliza changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo mapema hii leo 24 Juni 2020 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mtendaji wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
MKURABITA yawataka wajasiriamali kujisajili
MPANGO wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara Tanzania (MKURABITA) umewataka wajasiriamali wadogo kusajili biashara zao na kupata mafunzo sahihi ili kufikia malengo yao. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
9 years ago
MichuziTUZO ZA SANAA YA UCHORAJI TINGATINGA
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
TCRA yawataka mafundi simu kujisajili
MAFUNDI simu wameshauriwa kujisajili Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili waweze kufanya kazi zao kwa kufuata sheria na utaratibu uliopo. Wito huo ulitolewa jana na Naibu Mkurugenzi Masuala ya Watumiaji...
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Wadau wa sanaa, kumbi, watakiwa kujisajili Basata
KAIMU Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungeleza amewataka wasanii na wadau wote wanaojihusisha na shughuli za sanaa kujisajili kwa baraza hilo kupata vibali vya kuendesha...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-xrejKDXM2g0/VcQb5z7850I/AAAAAAAHu_g/8RImiSTUD08/s72-c/1.jpg)
UMOJA WA WASANII WA FANI MBALIMBALI WAMUGA JK,WAMTANGAZA KUWA SHUJAA WA SANAA YA MUZIKI NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-xrejKDXM2g0/VcQb5z7850I/AAAAAAAHu_g/8RImiSTUD08/s640/1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Umoja wa wasanii wa fani mbalimbali wamuaga JK, wamtangaza kuwa shujaa wa sanaa ya muziki nchini
![](http://3.bp.blogspot.com/-xrejKDXM2g0/VcQb5z7850I/AAAAAAAHu_g/8RImiSTUD08/s640/1.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli,Dkt Jakaya Kikwete alizungumza mambo mbalimbali zikiwemo haki na hatimiliki za wasanii wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xhOlC1v97nk/VCLT4p3rZ2I/AAAAAAAGlis/5D0m5COz2W4/s72-c/unnamed%2B(85).jpg)
SERIKALI YAWATAKA WASIMAMIZI NA WADADISI WA UTAFITI WA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA NCHINI KUZINGATIA WELEDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-xhOlC1v97nk/VCLT4p3rZ2I/AAAAAAAGlis/5D0m5COz2W4/s1600/unnamed%2B(85).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vtc5J0DTJXI/VCLT40NZ3dI/AAAAAAAGlik/vQVqBb9F6NY/s1600/unnamed%2B(86).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-neU-d-apMgk/VCLT4oU8akI/AAAAAAAGlig/JiiL9jV3wfU/s1600/unnamed%2B(87).jpg)
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Wasanii Tanzania waikataa Cosota
NA KHABIBU NASSORO, (MUC)
WASANII wa muziki nchini wameukataa uongozi wa Cosota kutokana na usimamizi mbaya wa kazi zao.
Wakizungumza na waandishi wahabari katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Little Theatre, jijini Dar es Salaam jana, walisema hawana imani na uongozi wa Cosota na kampuni ya kusimamia kazi za wasanii Afrika Mashariki (CMEA).
“Hatuna imani na Cosota, CMEA na Basata kutokana na kushindwa kusimamia kazi zetu.
“Hata mchakato uliotumika kupata viongozi wa...
10 years ago
Habarileo08 Aug
JK aipa wiki mbili Cosota kumaliza kero za wasanii
RAIS Jakaya Kikwete amekipa wiki mbili Chama cha Hatimiliki cha Tanzania (COSOTA) kuhakikisha kinamaliza kero za wasanii hapa nchini ili wanufaike na kazi zao kama ilivyo kwa wasanii wa nje.