UMOJA WA WASANII WA FANI MBALIMBALI WAMUGA JK,WAMTANGAZA KUWA SHUJAA WA SANAA YA MUZIKI NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-xrejKDXM2g0/VcQb5z7850I/AAAAAAAHu_g/8RImiSTUD08/s72-c/1.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli,Dkt Jakaya Kikwete alizungumza mambo mbalimbali zikiwemo haki na hatimiliki za wasanii wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Umoja wa wasanii wa fani mbalimbali wamuaga JK, wamtangaza kuwa shujaa wa sanaa ya muziki nchini
![](http://3.bp.blogspot.com/-xrejKDXM2g0/VcQb5z7850I/AAAAAAAHu_g/8RImiSTUD08/s640/1.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli,Dkt Jakaya Kikwete alizungumza mambo mbalimbali zikiwemo haki na hatimiliki za wasanii wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-juZ1oAOc9FI/VcP4iWipIjI/AAAAAAAHu1Q/J2y7KIQvj1o/s72-c/w23.jpg)
JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-juZ1oAOc9FI/VcP4iWipIjI/AAAAAAAHu1Q/J2y7KIQvj1o/s640/w23.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-33aseek4ChU/VcP4l4g7poI/AAAAAAAHu1g/depRkfwH9Zc/s640/w24.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-4bIS-HJhlmQ/VcP4mNe2WZI/AAAAAAAHu1k/3yclYrCXxEA/s640/w25.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IBoq7Oe69Hg/VcP4mglEguI/AAAAAAAHu1o/3VD__02gVz8/s640/w26.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-9aKQ_1dNuak/VcP4qECHBQI/AAAAAAAHu18/MQ9QqfsJ_xM/s640/w27.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-NyKaI9zwvdg/VcP4qovi0XI/AAAAAAAHu2A/r0s0KHcns6I/s640/w28.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-lzuDP86LYt8/VcP4p1YaGKI/AAAAAAAHu14/awXtSkXT4GE/s640/w29.jpg)
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-_lJKTVD_SOY/VcP4RGYZweI/AAAAAAAHuzg/Z544INC2eic/s72-c/w1.jpg)
PICHA: JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-_lJKTVD_SOY/VcP4RGYZweI/AAAAAAAHuzg/Z544INC2eic/s640/w1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-qPrxcTa1EV4/VcP4e3xo9dI/AAAAAAAHu04/S_OOgcqpO8k/s640/w2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-_lJKTVD_SOY/VcP4RGYZweI/AAAAAAAHuzg/Z544INC2eic/s640/w1.jpg)
JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eaexLD4YO2s/UwhSwvZpRsI/AAAAAAAAdrI/fe8G7la7X0k/s72-c/001.jpg)
SEMINA YA WASANII WA MBALIMBALI WA MUZIKI NA FILAMU YAFANYIKA JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-eaexLD4YO2s/UwhSwvZpRsI/AAAAAAAAdrI/fe8G7la7X0k/s1600/001.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rnuabDm3ceA/XvN9wbN4KmI/AAAAAAALvSQ/g-eJY-YnUsMvgAHCWNUcIppG6YIsz7pIwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-48.jpg)
Serikali yawataka Wasanii wa Sanaa ya Uchoraji nchini kujisajili COSOTA
![](https://1.bp.blogspot.com/-rnuabDm3ceA/XvN9wbN4KmI/AAAAAAALvSQ/g-eJY-YnUsMvgAHCWNUcIppG6YIsz7pIwCLcBGAsYHQ/s640/1-48.jpg)
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) akisisitiza jambo kwa wasanii wa Sanaa ya uchoraji maarufu Tingatinga (hawapo pichani) wakati alipowatembelea kuona shughuli zao na kusikiliza changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo mapema hii leo 24 Juni 2020 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mtendaji wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIl7WfZqoKUKrZY6fs6y-DxevH3*2a2IuUW37tXn71zX1VF1e3ZE6I45Y6W77He5eV6xQ4JFGBFOraGnzbmP6dNU/10559660_917241154957058_3806624857503964464_n.jpg?width=650)
MTOTO WA PRODYUZA WA 2PAC KUENDELEZA FANI YA MUZIKI
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
MultiChoice Tanzania wamtangaza rasmi Diamond Platnumz kuwa ‘Official DSTV Brand Ambassador’
Mwanamuiki nyota nchini Tanzania, Nassib Abdul ama Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani). (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Adndrew Chale, Modewji
[DAR ES SALAAM-TANZANIA]
KAMPUNI ya MultiChoice Tanzania mapema jana imezindua ofa kabambe za msimu wa siku kuu huku ikimtambulisha rasmi Mwanamuziki Diamond Platnumz kuwa balozi maalum wa bidhaa za kampuni hiyo ikiwemo kifurushi cha DSTV BOMBA chenye chaneli zaidi ya 65 ikiwemo huduma ya vituo kadhaa vya...