TUZO ZA SANAA YA UCHORAJI TINGATINGA
Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Younq ing akiongea na baadhi ya wasanii wa sanaa ya uchoraji wa Tingatinga katika hafla ya utoaji wa Tuzo la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo (jana) jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_X8BDyl3DXI/Xt9Ugo58GMI/AAAAAAALtJg/IBMHM6D4oAoH45KmgxrVKN9ybCbX1PhQACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200609-WA0002.jpg)
EDWARD SAIDI- MWANZILISHI WA SANAA YA TINGATINGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-_X8BDyl3DXI/Xt9Ugo58GMI/AAAAAAALtJg/IBMHM6D4oAoH45KmgxrVKN9ybCbX1PhQACLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200609-WA0002.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
ANAFAHAMIKA kwa jina la Edward Saidi 'Tingatinga' mchoraji wa kitanzania ambaye pia anaelezwa kuwa ni mwanzilishi wa mtindo wa uchoraji maarufu kama Tingatinga, ambao umekuwa kivutio kwa watalii na umekuwa ukifanywa katika nchi za Tanzania, Kenya na baadhi ya maeneo katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Tingatinga ni sanaa ya ufundi inayojumuisha uchoraji, upakaji rangi, ufinyanzi, uchongaji na utengenezaji wa mapambo ya asili na utamaduni.
Tingatinga ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rnuabDm3ceA/XvN9wbN4KmI/AAAAAAALvSQ/g-eJY-YnUsMvgAHCWNUcIppG6YIsz7pIwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-48.jpg)
Serikali yawataka Wasanii wa Sanaa ya Uchoraji nchini kujisajili COSOTA
![](https://1.bp.blogspot.com/-rnuabDm3ceA/XvN9wbN4KmI/AAAAAAALvSQ/g-eJY-YnUsMvgAHCWNUcIppG6YIsz7pIwCLcBGAsYHQ/s640/1-48.jpg)
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) akisisitiza jambo kwa wasanii wa Sanaa ya uchoraji maarufu Tingatinga (hawapo pichani) wakati alipowatembelea kuona shughuli zao na kusikiliza changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo mapema hii leo 24 Juni 2020 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mtendaji wa...
9 years ago
Dewji Blog17 Sep
China na Tanzania kuendelea kushirikiana katika Sanaa za michoro, ikiwemo ya Tingatinga
Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Younq ing akiongea na baadhi ya wasanii wa sanaa ya uchoraji wa Tingatinga katika hafla ya utoaji wa Tuzo la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM)
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi....
11 years ago
Mwananchi12 Jul
MAONI: Tunahitaji tuzo za jumla za sanaa
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Basata kutoa tuzo tano za sanaa
ZAMDA BIWI NA IDDY ABDALLAH, (RCT)
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limepanga kutoa tuzo tano kwa wasanii waliochangia jamii na waliotumia maisha yao yote katika maendeleo ya sanaa kwa ujumla nchini.
Tuzo hizo zitakazotolewa katika maadhimisho ya siku ya msanii yatakayofanyika Desemba 12, katika ukumbi wa Blue Pearl uliopo jijini Dar es Salaam, yatakuwa na kauli mbiu ya ‘Nguvu ya Sanaa’.
Mkurugenzi wa Ukuzaji wa Masoko, Nsao Vivian, alisema lengo la maadhimisho hayo ni kumtambulisha msanii,...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-KzzT5qTALXM/VODVj2wdpMI/AAAAAAABlRI/kxQ4xzZcmcE/s72-c/fakh2.jpg)
WATANZANIA WAPOKEA TUZO YA MAONYESHO YA SANAA MUSCAT
![](http://2.bp.blogspot.com/-KzzT5qTALXM/VODVj2wdpMI/AAAAAAABlRI/kxQ4xzZcmcE/s640/fakh2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-QJ7r75UEHMA/VODVZZfVH1I/AAAAAAABlRA/gCYebLSpSYI/s640/fakh1.jpg)
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Dhana ya kikwetu kwetu itasaidia sanaa sanaa
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Serikali lawamani kuutosa uchoraji
WADAU wa sanaa ya uchoraji wameilalamikia serikali na jamii kwa ujumla kutothamini kazi zao, hivyo kurudisha nyuma maendeleo ya tasnia hiyo yenye umuhimu mkubwa kama alama mojawapo ya utamaduni wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-zRQVTdxaVjI/XtHp8f44s-I/AAAAAAALsDs/nL46_qbocM0vb8-oEV42CerXJBA6UXpKwCLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
WENYE VIPAJI VYA UCHORAJI WAJITOKEZE
![](https://1.bp.blogspot.com/-zRQVTdxaVjI/XtHp8f44s-I/AAAAAAALsDs/nL46_qbocM0vb8-oEV42CerXJBA6UXpKwCLcBGAsYHQ/s400/unnamed.jpg)
NA DENIS MLOWE,IRINGA
VIJANA wenye vipaji vya kuchora mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye mradi mpya wa uchoraji uliopewa jina la The Streets of Iringa Krafts wenye nia kuibua na kuendeleza vipaji vya uchoraji na kuzalisha ajira zaidi.
Wito huo umetolewa na mdau wa maendeleo, Ahmed Salim Abri kwa lengo la kuwawezesha vijana kutumia kipaji cha uchoraji katika kukuza ajira mkoani hapa ikiwa ni sehemu ya moja ya mikakati ya kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano ya...