Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI: Tunahitaji tuzo za jumla za sanaa

>Katika hali ya kawaida, kwenye maisha yetu ya ya kila siku, binadamu anayehenyeka katika jambo fulani, faraja yake huja baada ya kugundua kwamba jitihada zake zimeonekana dhahiri na kutambulika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

TBL washindi wa jumla tuzo za RECP Afrika Mashariki

01

 Waziri wa Nchi wa Mazingira wa Uganda, Flavia Namugere (katikati) akiwakabidhi tuzo ya ushindi wa jumla ya RECP Afrika Mashariki ya usimamizi bora wa matumizi ya maji na nishati kwa Mhandisi wa Huduma za Kiufundi wa Kiwanda cha Mwanza cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Sunday Kidolezi (kushoto), na Mhandisi wa Mitambo wa kiwanda hicho, Erick Ernest ambayo kampuni hiyo ilituzwa katika hafla iliyofanyika hivi karibuni jijini Entebe, Uganda.

HERM6676[1]

 Tanzania Deputy Permanent Secretary for...

 

10 years ago

Dewji Blog

Acacia washindi wa jumla tuzo ya Rais kwa mwaka 2014

Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wapili kulia), akimkabidhi tuzo, Makamu wa Rais wa kampuni ya Acacia, (Anayeshughulikia kampuni), Deo Mwanyika, baada ya mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na kampuni hiyo, kuibuka mshindi wa jumla wa mwaka 2014 wa tuzo ya Rais ya makampuni ya uchimbaji madini, yanavyotekeleza wajibu wa kampuni katika kusaidia jamii  (CSRE). Hafla ya kutoa tuzo hizo ilikwenda sambamba na uzinduzi wa muongozo mpya wa makampuni hayo katika kutekeleza CSRE....

 

10 years ago

Dewji Blog

Manispaa ya Kinondoni yaibuka mshindi wa jumla tuzo ya Meya 2015

APK3a

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda.

… zilzioandaliwa na ALAT

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Manispaa ya Kinondoni ya Jijini Dar es salaam imeibuka mshindi wa wa Jumla ya kwenye tuzo zilzioandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) katika kutimiza miaka 30 ya ALAT kwenye mkutano wa 31 wa Jumuiya hiyo unaoendelea jijini Dar es Salaam.

Katika halfa hiyo ya tuzo ambapo Rais Jakaya Kikwete alikuwa mgeni rasmi, uliohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ALAT,  pamoja na wadau...

 

10 years ago

Vijimambo

ACACIA YATWAA TUZO YA JUMLA YA RAIS YA KUSAIDIA JAMII MWAKA 2014

Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wapili kulia), akimkabidhi tuzo, Makamu wa Rais wa kampuni ya Acacia, (Anayeshughulikia kampuni), Deo Mwanyika, baada ya mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na kampuni hiyo, kuibuka mshindi wa jumla wa mwaka 2014 wa tuzo ya Rais ya makampuni ya uchimbaji madini, yanavyotekeleza wajibu wa kampuni katika kusaidia jamii (CSRE). Hafla ya kutoa tuzo hizo ilikwenda sambamba na uzinduzi wa muongozo mpya wa makampuni hayo katika kutekeleza CSRE....

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Sanaa bado pana, acheni kubanana

>Siku za karibuni, hasa baada ya kugundulika kwa hii mitandao ya kijamii, kumekuwa na imani kubwa kwamba vijana wanaweza kutengeneza pesa nyingi kiurahisi kwa kutumia sanaa ya uigizaji na muziki na hata uanamitindo, baada ya kuwa maarufu na kukubalika na jamii husika.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Soko la sanaa haliko jukwaani pekee

>Kuna wakati kutokana na kuiva kwa vitengo vyetu katika tasnia fulani fulani ikiwemo hii ya sanaa, inatubidi kuingia katika kazi ya kufundisha ndugu zetu waliopo katika tasnia jinsi ya kwenda na hizi kazi walizonazo ili wasipotoke na hii ni kwa manufaa yao zaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Sanaa siyo uhuni, tukuze vipaji

>Wakati vijana wa kizazi kipya walipoingia katika medani ya muziki, walijikita zaidi katika utamaduni wa magharibi,  hali iliyokuwa haiendani na maadili na utamaduni wa Mtanzania, hivyo  jamii iliichukulia muziki huo kama ni wa kihuni.

 

11 years ago

Michuzi

Waandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma Tuzo zilitolewa kwenye hafla maalum na Waziri wa Utawala bora

Twaweza, kama sehemu ya kazi zake kwenye Mpango wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi (OGP), imetoa tuzo za kompyuta (aina ya laptops) na taa zinazotumia nishati ya jua kwa waandishi 37 kutokana na mawazo yao juu ya namna Serikali na wananchi wanavyoweza kuboresha utoaji huduma kwenye sekta za elimu, afya na maji.
Shindano hili la kutafuta maoni ya wananchi lilizinduliwa kwa ushirikiano wa Twaweza pamoja na Serikali ya Tanzania mwezi Desemba 2012. Twaweza iliisaidia Serikali...

 

9 years ago

Michuzi

TUZO ZA SANAA YA UCHORAJI TINGATINGA

 Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Younq ing akiongea na baadhi ya wasanii wa sanaa ya uchoraji  wa Tingatinga katika hafla ya utoaji wa  Tuzo  la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo (jana) jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa  ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Tuzo hizo zimetolewa kwa  ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea  katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani