Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Acacia washindi wa jumla tuzo ya Rais kwa mwaka 2014

Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wapili kulia), akimkabidhi tuzo, Makamu wa Rais wa kampuni ya Acacia, (Anayeshughulikia kampuni), Deo Mwanyika, baada ya mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na kampuni hiyo, kuibuka mshindi wa jumla wa mwaka 2014 wa tuzo ya Rais ya makampuni ya uchimbaji madini, yanavyotekeleza wajibu wa kampuni katika kusaidia jamii  (CSRE). Hafla ya kutoa tuzo hizo ilikwenda sambamba na uzinduzi wa muongozo mpya wa makampuni hayo katika kutekeleza CSRE....

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ACACIA YATWAA TUZO YA JUMLA YA RAIS YA KUSAIDIA JAMII MWAKA 2014

Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wapili kulia), akimkabidhi tuzo, Makamu wa Rais wa kampuni ya Acacia, (Anayeshughulikia kampuni), Deo Mwanyika, baada ya mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na kampuni hiyo, kuibuka mshindi wa jumla wa mwaka 2014 wa tuzo ya Rais ya makampuni ya uchimbaji madini, yanavyotekeleza wajibu wa kampuni katika kusaidia jamii (CSRE). Hafla ya kutoa tuzo hizo ilikwenda sambamba na uzinduzi wa muongozo mpya wa makampuni hayo katika kutekeleza CSRE....

 

11 years ago

Dewji Blog

TBL washindi wa jumla tuzo za RECP Afrika Mashariki

01

 Waziri wa Nchi wa Mazingira wa Uganda, Flavia Namugere (katikati) akiwakabidhi tuzo ya ushindi wa jumla ya RECP Afrika Mashariki ya usimamizi bora wa matumizi ya maji na nishati kwa Mhandisi wa Huduma za Kiufundi wa Kiwanda cha Mwanza cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Sunday Kidolezi (kushoto), na Mhandisi wa Mitambo wa kiwanda hicho, Erick Ernest ambayo kampuni hiyo ilituzwa katika hafla iliyofanyika hivi karibuni jijini Entebe, Uganda.

HERM6676[1]

 Tanzania Deputy Permanent Secretary for...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafahamu washindi wa Tuzo za Swahili Fashion kwa mwaka huu

kiki msuya

Mkurugenzi Msaidizi wa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leah Kihimbi akimkabidhi Tuzo mshindi wa kipengele cha Mbunifu Bora wa mwaka wa Swahii Fashio Weeek mwaka huu Kiki Zimba.

Na Mwandishi Wetu

Mbunifu wa mavazi Kiki Zimba ametunukiwa tuzo ya kuwa mbunifu bora wa mavazi kwa mwaka huu iliyotolewa katika onesho la mavazi la Swahili Fashion 2014.

Pia Mwanamitindo wa kimataifa mtanzania aishie Marekani Millen Magese alishinda tuzo ya mtu mwenye mvuto zaidi...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA TUZO ZA TANAPA 2014 WAKABIDHIWA TUZO JIJINI MWANZA

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ,Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza. 
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini.
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Washindi wa tuzo za TANAPA 2014 wakabidhiwa tuzo Jjjini Mwanza

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) , Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza.  Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla hiyo. Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini. Mkuu wa wa Wilaya ya...

 

10 years ago

Bongo5

Washindi wa Tuzo za MTV EMA 2014 zilizofanyika Jumapili Nov.9

Nicki Minaj, Beyonce, Katy Perry Justine Bieber ni miongoni mwa washindi wa tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV EMA 2014) zilizofanyika Jumapili Nov. 9 huko Glasgow, Scotland. Nicki Minaj ndiye alikuwa host wa tuzo hizo ambaye pia alitumbuiza. Orodha kamili ya washindi: Best Video Iggy Azalea – “Black Widow ft. Rita Ora” Katy Perry […]

 

11 years ago

GPL

MeTL YASHINDA TUZO 3 ZA RAIS ZA WATENGENEZAJI BIDHAA KWA MWAKA 2013‏

Na. Mwandishi wetu. Makampuni matatu makubwa yaliyo ndani ya MeTL Group hivi majuzi yamefanikiwa kutwaa tuzo za Rais za Watengenezaji Bidhaa kwa mwaka 2013. Makampuni hayo ni: East Coast Oils & Fats Ltd ya Kurasini ambayo hutengeneza sabuni na mafuta ya kupikia pamoja na bidhaa nyingine. Afritex Limited ambayo hutengeneza Khanga, Vitenge na bidhaa zifananazo; na 21st Century Textiles ambayo ni kampuni kubwa na ya kisasa Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA MASHINDANO YA DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP 2014 WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO.

Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM akizungumza jambo wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi mbalimbali wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 Bwana Novatus Damiani ambaye ni kiongozi wa timu ya Abajalo iliyotwaa ubingwa wa michuano ya  Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 akipokea pesa taslimu shilingi milioni tano kutoka kwa Bi. Fatma Likwata ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm na Tv akimwakilisha Dr Mwaka.

 Shaffih Dauda ambaye ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani