Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASHINDI WA MASHINDANO YA DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP 2014 WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO.

Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM akizungumza jambo wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi mbalimbali wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 Bwana Novatus Damiani ambaye ni kiongozi wa timu ya Abajalo iliyotwaa ubingwa wa michuano ya  Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 akipokea pesa taslimu shilingi milioni tano kutoka kwa Bi. Fatma Likwata ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm na Tv akimwakilisha Dr Mwaka.

 Shaffih Dauda ambaye ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Nusu ya fainali ya kwanza ya mashindano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP katika uwanja wa Mwembe Yanga,Temeke

Nusu ya fainali ya kwanza ya mashindano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP imepigwa hapo jana kwenye uwanja wa Bandari maeneo ya Tandika Mwembe Yanga kati ya Tabata FC na Black Six,mchezo ulimalizika kwa tabata kushinda bao 1-0 na kukata tiketi ya kucheza fainali hapo tarehe 29/11/2014 kwenye uwanja huo huo wa Bandari.mchezo huo uliweka rekodi ya mashindano ya NDONDO kwa kuhudhuliwa na mashabiki wengi.10553574_836086276455319_1176921432347220072_n Mashabiki wa BLACK SIX ya Buguruni.......... 1960140_836086329788647_6126915949753505475_nMshambuliaji wa YANGA Jerry Tegete alikuwa...

 

10 years ago

Michuzi

ABAJALO YAINGIA FAINALI DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP KWA KISHINDO

Timu ya Abajalo ya Sinza jijini Dar es Salaam imefanikiwa kukata tiketi ya fainali ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 baada ya kuifunga Burudani FC ya Temeke mikoroshini mabao 3-1. Mabao ya Abajalo kwenye mchezo huo yalifungwa na Idd Kulachi ‘Kleberson’ aliyefunga mabao mawili kati ya matatu. Mchezo huo wa nusu fainali ya pili ulipigwa kwenye uwanja Bandari uliopo maeneo ya Tandika Mwembe Yanga. Kwa ushindi huo sasa Abajalo itacheza na Tabata FC kwenye fainali itakayopigwa siku ya...

 

10 years ago

Michuzi

DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP TEMEKE MARKET NA BLACK SIX MECHI YALALA

Michuano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP imeendelea leo kwenye uwanja wa Bandari maeneo ya Tandika Mwembe Yanga kwa kuzikutanisha timu za TEMEKE MARKET na BLACK SIX ya Buguruni,mchezo huo umemalizika kwa timu hizo kushindwa kumpata mshindi baada ya kufungana bao 1-1 baada ya dakika tisini,na pia ilipofika changamoto ya mikwaju ya penati timu zote zilitumbukiza mikwaju yote mitano kimiani na kupelekea mwamuzi wa mchezo huo kuuvunja baada ya giza kuingia. Mchezo huo sasa utarudiwa siku...

 

10 years ago

Michuzi

BURUDANI FC YAINGIA NUSU FAINALI, YAIONDOSHA KILUVYA UTD KWA PENATI KWENYE DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP

4Michuano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP hatua ya robo fainali imeendelea  kwenye uwanja wa bandari maeneo ya Tandika Mwembeyanga kwa kuzikutanisha timu za Burudani Fc ya Temeke mikoroshini dhidi ya Kiluvya Utd kutoka mkoani PwaniMchezo huo umemalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana baada ya dakika 90 ikabidi changamoto ya mikwaju ya penati itumike kumpata mshindi na timu ya Burudani ikafanikiwa kupata mikwaju minne dhidi ya miwili ya kiluvya,golikipa Abraham Abdallah wa Burudani...

 

10 years ago

Michuzi

SPORTS XTRA NDONDO CUP YAZINDULIWA RASMI, ABAJALO, FC KAUZU MUZIKI WAO..OGOPA SANA!

3Baada ya kuisubiri kwa muda mrefu burudani hii adimu! Sasa utamu umewadia!!
Msimu wa pili wa mashindano ya Sports Xtra Ndondo Cup chini ya udhamini wa Dr. Mwaka, Daktari bingwa wa masuala ya Afya ya uzazi na Tiba asilia kutoka kituo cha Foreplan Clinic, kilichopo Bungoni, Ilala, Dar es salaam umezinduliwa rasmi katika uwanja wa Bandari, Tandika, jijini Dar es salaam.
Mechi ya ufunguzi yenye mvuto wa aina yake imepigwa jana ikiwakutanisha mabingwa watetezi, Abajalo FC ya Sinza Dar es...

 

10 years ago

GPL

WASHINDI WA SHINDANO LA APPSTAR WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Mshindi wa kwanza wa shindano la AppStar tabaka la wabunifu waliobobea Roman Mbwasi akielezea jambo wakati wa shughuli ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao iliyofanyika makao makuu ya Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki hii. Katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Abigail Ambweni, akimsikiliza kwa makini pamoja na mshindi wa kwanza katika tabaka la wabunifu chipukizi, George Machibya (kulia) Shindano hilo linaendeshwa na...

 

11 years ago

GPL

WASHINDI WA CHEMSHA BONGO YA BRAZIL WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Mhariri wa Gazeti la Championi Jumatano, Phillip Nkini (kulia) akimkabidhi Said Muhammed Muba zawadi yake ya dekoda na dishi. Ofisa Mauzo wa Azam TV, Shah Seffu Mrisho (kulia)  akimkabidhi Allen John Muhuma zawadi ya TV na dekoda.…

 

9 years ago

Michuzi

WASHINDI WA SHINDANO LA “JIONGEZE NA MSHIKO” WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

 Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana Ezekiel Mashita  kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na moja ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Meneja mauzo wa Airtel bwana Pascal Bikomagu.(kulia)  akimpongeza bwana Oswald Marandu (kushoto) kutoka Kilimanjaro, baada ya kuibuka mshindi   katika droo ya kumi na moja ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na kujishindia shilingi milioni...

 

11 years ago

Michuzi

Washindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC wakabidhiwa zawadi zao

Mshindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC Limited Bw. Abib Gervas Ndendya (kushoto) akipokea funguo ya bodaboda kutoka kwa Meneja wa tawi la NBC Njombe bi Dorah Godfrey Lewis (kulia) baada ya kuibuka mshindi katika promosheni hiyo hivi karibuni na baadhi ya wafanyakazi wa tawi hilo wakishuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Njombe. Droo kubwa ya promosheni hiyo itafanyika wiki ijayo. Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Kagera Mheshimiwa Elizabeth Batenga akiwa na wafanyakazi wa NBC tawi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani