Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASHINDI WA SHINDANO LA “JIONGEZE NA MSHIKO” WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

 Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana Ezekiel Mashita  kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na moja ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Meneja mauzo wa Airtel bwana Pascal Bikomagu.(kulia)  akimpongeza bwana Oswald Marandu (kushoto) kutoka Kilimanjaro, baada ya kuibuka mshindi   katika droo ya kumi na moja ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na kujishindia shilingi milioni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASHINDI WA SHINDANO LA APPSTAR WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Mshindi wa kwanza wa shindano la AppStar tabaka la wabunifu waliobobea Roman Mbwasi akielezea jambo wakati wa shughuli ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao iliyofanyika makao makuu ya Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki hii. Katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Abigail Ambweni, akimsikiliza kwa makini pamoja na mshindi wa kwanza katika tabaka la wabunifu chipukizi, George Machibya (kulia) Shindano hilo linaendeshwa na...

 

11 years ago

GPL

WASHINDI WA CHEMSHA BONGO YA BRAZIL WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Mhariri wa Gazeti la Championi Jumatano, Phillip Nkini (kulia) akimkabidhi Said Muhammed Muba zawadi yake ya dekoda na dishi. Ofisa Mauzo wa Azam TV, Shah Seffu Mrisho (kulia)  akimkabidhi Allen John Muhuma zawadi ya TV na dekoda.…

 

11 years ago

Michuzi

Washindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC wakabidhiwa zawadi zao

Mshindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC Limited Bw. Abib Gervas Ndendya (kushoto) akipokea funguo ya bodaboda kutoka kwa Meneja wa tawi la NBC Njombe bi Dorah Godfrey Lewis (kulia) baada ya kuibuka mshindi katika promosheni hiyo hivi karibuni na baadhi ya wafanyakazi wa tawi hilo wakishuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Njombe. Droo kubwa ya promosheni hiyo itafanyika wiki ijayo. Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Kagera Mheshimiwa Elizabeth Batenga akiwa na wafanyakazi wa NBC tawi la...

 

11 years ago

Michuzi

Washindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dudai' wakabidhiwa zawadi zao

Mkurugenzi Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dudai', Dinah Siame Mkazi wa Dar es Salaam aliyejishindia tiketi ya kwenda kwa mapomziko nchini Dubai na mwenzi wake, baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Mauzo wa Unilever Tanzania, Teresa Kamweru.Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana. Mkurugenzi wa Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda...

 

11 years ago

Michuzi

washindi wa droo ya nane ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti wakabidhiwa zawadi zao

 Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa droo ya nane ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao mapema leo katika Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam kutoka kushoto Henry Martin, Bruno Thobias na Alex Vicent(wa kwanza kulia) ambao wamejipatia ving’amuzi na simu aina ya Samsung Galaxy Tablet.   Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(kushoto) akiongea kwa njia ya simu na mmoja...

 

11 years ago

Michuzi

Washindi wawili wa droo ya winda safari ya Brazili na Serengeti wakabidhiwa zawadi zao

Washindi wa droo ya winda safari ya Brazili na Serengeti Godbles Sehaba (kulia)na  Karushe Mathias  (kushoto) wakiwa na nyuso za furaha baada ya kukabidhiwa zawadi zao za king’amuzi cha azam walizoshinda baada ya kuchezeshwa droo hiyo siku ya jumatano.   mshindi wa king’amuzi cha azam katika promosheni ya winda safari ya Brazili na Serengeti Bw Godbles Sehaba katikati akikabidhiwa zawadi yake  na meneja mauzo eneo la mabibo Bi Anna Gassembe (kushoto) na afisa mauzo Bi Anna Msonga...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA MASHINDANO YA DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP 2014 WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO.

Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM akizungumza jambo wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi mbalimbali wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 Bwana Novatus Damiani ambaye ni kiongozi wa timu ya Abajalo iliyotwaa ubingwa wa michuano ya  Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 akipokea pesa taslimu shilingi milioni tano kutoka kwa Bi. Fatma Likwata ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm na Tv akimwakilisha Dr Mwaka.

 Shaffih Dauda ambaye ni...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatangaza washindi wa droo ya nne ya “Jiongeze na Mshiko”

Airtel Tanzania imetanga washindi  wa droo yake ya nne ya promosheni  ya "Jiongeze na Mshiko"  katika ofisi za makao makuu ya Airtel zilipo Morocco jijini Dar Es Salaam, ambapo wateja wanaweza kushinda zawadi ya fedha kila wiki ya shilingi tatu , milioni  moja na mwisho wa promosheni mteja ataweza kuondoka na kitita cha shilingi milioni 50.
Akiongea wakati wa droo hiyo, Afisa uhusiano na matukio wa Airtel  Dangio Kaniki alisema leo tunatangaza washindi wawili wa  promosheni ya "Jiongeze na...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAPATA WASHINDI WATANO WA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO

 Afisa huduma za ziada wa Airtel bwana Fabian Felician akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya tano ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Manyara na Bukoba walipatikana (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Bakari Majid (kushoto) droo hii imechezwa jana katika makao makuu ya Airtel Moroco jijini Dar es saalam.Afisa huduma za ziada wa Airtel, bwana Fabian Felician (kulia) akimkabidhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani