washindi wa droo ya nane ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti wakabidhiwa zawadi zao

Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa droo ya nane ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao mapema leo katika Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam kutoka kushoto Henry Martin, Bruno Thobias na Alex Vicent(wa kwanza kulia) ambao wamejipatia ving’amuzi na simu aina ya Samsung Galaxy Tablet.
Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(kushoto) akiongea kwa njia ya simu na mmoja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWashindi wawili wa droo ya winda safari ya Brazili na Serengeti wakabidhiwa zawadi zao
11 years ago
Michuzi
WASHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI WAENDELEA KUKABIDHIWA ZAWADI ZAO


11 years ago
Michuzi
SBL YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA WIKI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI


11 years ago
Michuzi
KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAENDESHA DROO YA KWANZA YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI.


11 years ago
Michuzi.jpg)
KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YACHEZESHA DROO YAKE YA KUMI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuziwawili wapatikana droo ya pili ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti
11 years ago
Michuzi
DROO YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI YACHEZESHWA KIAINA YAKE JIJINI DAR.



11 years ago
Michuzi
SBL YACHEZESHA DROO YA NNE YA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI YAENDELEA .


SBL YACHEZESHA DROO YA NNE YA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI YAENDELEA .
Hatimaye mshindi wa kwanza wa tiketi ya kwenda Brazili kupitia bia ya Serengeti...